Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Najua mnayaogopa sana MAJOGOO!Mmetushikia ubingwa wetu!January 31 nakupiga kama mtoto mdogo na kuwa points sawa na wewe sababu Spurs Jumatano anakupiga
 
Mkuu Dembele na Wanyama watalazimisha kupanda mbele na Hazard na Pedro hawa hawatocheza mpira kwa raha.....

Yani hapa chelsea inatakiwa wadrive mipira na kupiga mipira ya kasi na pasi zao ziwe za uhakika kuingia ktk upande wa Spurs hapo ndio tutawaweza. Yani watumie uwezo wao binafsi...

Au Hazard na Pedro na Costa wakae ktk eneo la Spurs huko wasubiri mipira na jukumu la ukabaji lifanywe na Moses Alonso Matic Kante na ili back line 3 kwa nguvu sn na tucheze mipira mirefu kwenda kwa hao Hazard na Pedro na Costa.

Dembele na Wanyama watatembea sana siku hiyo na huku kuna Dele na Keane
Pembeni kuna beki wagumu sana wa Spurs na chaguo la kwanza England
Spurs 3 Chelsea 1
Kama hadi Crouch anafunga hawezi shindwa Keane
 
Najua mnayaogopa sana MAJOGOO!Mmetushikia ubingwa wetu!January 31 nakupiga kama mtoto mdogo na kuwa points sawa na wewe sababu Spurs Jumatano anakupiga
Hatuwezi waogopa nyie hata siku moja, ila nyie ndo mnatuogopa refer comment za gerrad jana.
 
Najua mnayaogopa sana MAJOGOO!Mmetushikia ubingwa wetu!January 31 nakupiga kama mtoto mdogo na kuwa points sawa na wewe sababu Spurs Jumatano anakupiga
Kwanza tarehe 15 OT unapigwa na Utd yani hilo ata uende ukacheze vipi lazima upigwe tu
 
Hii game watu km Hazard na Pedro watawekewa Marking kubwa sn alafu ule upande wa Moses, Rose atakua anapanda sn na pia Walker ndio maana umeona leo Walker hakucheza kabisa ata sub hakuwepo na huyu Rose kacheza juu kabisa.... So pale kati watawekwa Wanyama na Dembele ndio maana ata leo Dembele kaanzia benchi. So tutegemee hali kua hivi.
Katika game ambazo zitawapa morally basi mshinde hii mechi japo itakuwa ngumu sana. Sisi wengine bora mpoteze ili ubingwa uzidi kuwa open na league iwe tamu zaidi
 
Dembele na Wanyama watatembea sana siku hiyo na huku kuna Dele na Keane
Pembeni kuna beki wagumu sana wa Spurs na chaguo la kwanza England
Spurs 3 Chelsea 1
Kama hadi Crouch anafunga hawezi shindwa Keane
Ninacho kiona Dembele na Wanyama sizani km watatembea sn kwasababu Hazard na Pedro lazima wawekwe juu kabisa huko mbele yaani hawa wakijifanya kupanda tu wameumia
 
Ninacho kiona Dembele na Wanyama sizani km watatembea sn kwasababu Hazard na Pedro lazima wawekwe juu kabisa huko mbele yaani hawa wakijifanya kupanda tu wameumia
Beki za pembeni za Spurs
Beki za kati Vertongen na Tobby
Ndiyo bora zaidi EPL na wanawaweza kabisa Chelsea
Chelsea akipata hata sare kwa Spurs basi wao ni mabingwa
Spurs 3 Chelsea 1
 
Kwanza tarehe 15 OT unapigwa na Utd yani hilo ata uende ukacheze vipi lazima upigwe tu
Man U wana bahati mbaya
Anaondoka Mane anakuja Coutihno
Sawa na kuondoa Gobole kupata SMG
Livepool 2 Man 0
 
Beki za pembeni za Spurs
Beki za kati Vertongen na Tobby
Ndiyo bora zaidi EPL na wanawaweza kabisa Chelsea
Chelsea akipata hata sare kwa Spurs basi wao ni mabingwa
Spurs 3 Chelsea 1
Chelsea ndio yenye beki na ukuta imara kabisa kwa Epl mpk sasa umeruhusu goli 13 tu sasa hao Spurs wamefungwa ngapi????

We tulia uje uone kz....
 
Beki za pembeni za Spurs
Beki za kati Vertongen na Tobby
Ndiyo bora zaidi EPL na wanawaweza kabisa Chelsea
Chelsea akipata hata sare kwa Spurs basi wao ni mabingwa
Spurs 3 Chelsea 1
Upo sahihi sana. Kumbuka spurs nao wanawatumia mabeki wa pembeni kama mawinga.(wingback) kutakuwa na kazi sana maana Chelsea ndio mfumo wao.

Danny Rose vs Marcos Alonso
Kaly Walker vs Victor Moses.

Kwenye dimba ni sheeder.
Kwa epl hamna kiungo shoka kama Dembele. Hapa akisimama na Wanyama kwenye kiungo cha kukaba hiyo shughuli ni noumer.

Hii game ni 50/50. Mwenye makosa ndio ataadhibiwa.
 
Hapa ni kucheza kwa nidhamu bila kufanya makosa kwa asilimia zote......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom