ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Thx BAK, btw kwani we upo wing gan. . ?Hongereni Wakuu humu jukwaa hili, MNATISHAAAA!. Mna timu nzuri ambayo sasa inajiamini sana kwamba kila inaposhuka uwanjani ni ushindi tu. Heri ya Mwaka mpya wa 2017.