maalimu shewedy
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 860
- 691
Sasaivi hawa wakosoaji uchwara nitajibu hoja zao zote maana km chelsea sasaivi iko vzr na tuko tayari kwa yoyote

Sasaivi hawa wakosoaji uchwara nitajibu hoja zao zote maana km chelsea sasaivi iko vzr na tuko tayari kwa yoyote

Pamoja sanaVipi mkuu mbona vicheko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Miaka km mitatu hivi iliyopita nilikua nina jukumu hilo la kujibu hoja uchwara zote ktk huu uzi wetu na Mentor ilikua kz yake ni kuleta picha tu....
Sasa taratibu naanza kuusogelea ubingwa watapata shida wakaanga sumu
ukiwa juu mara nyingi haters wanakuwa wengi ukichukilia hawakutegemea mapinduzi yaliyofanywa na chelseaVipi mkuu mbona vicheko![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Miaka km mitatu hivi iliyopita nilikua nina jukumu hilo la kujibu hoja uchwara zote ktk huu uzi wetu na Mentor ilikua kz yake ni kuleta picha tu....
Sasa taratibu naanza kuusogelea ubingwa watapata shida wakaanga sumu
Sure Mkuu,ukiwa juu mara nyingi haters wanakuwa wengi ukichukilia hawakutegemea mapinduzi yaliyofanywa na chelsea
Kwa Epl klop anaweza kalishwa na SunderlandItakuwa ni balaa alafu ksho liver yuko na mteremko Sunderland daah! Ndo maana clop anajitamba sanaa
Babu duni, anakwambia "man city-ndembe ndembe, kifo cha mende"man city nao kwa sasa wametepeta sana sidhani kama wapo serious
Liverpool mara nyingi wafungwa na timu ndogo kama hizi, au utaona wanapata ushindi kwa taabu sanaKwa Epl klop anaweza kalishwa na Sunderland
Unajua hawa Watford wanatumia mfumo kama wa Chelsea. Na anaweka hivyo ili kutumia zaidi ma-winger na kuitanua back three. Ila Spurs akija hivyo jumatano ataumia mapema sana.Wakuu naona Spurs leo waujaribia mfumo wao ili wakabiliane na chelsea vzr.
Leo wako na 3-1-4-2.
Wanyama ameshika dimba la ukabaji peke yake
ngoja aendelee kuujaribu tu mwanaume atajulikana tu hiyo sikuWakuu naona Spurs leo waujaribia mfumo wao ili wakabiliane na chelsea vzr.
Leo wako na 3-1-4-2.
Wanyama ameshika dimba la ukabaji peke yake
Nimeona ndio hawa Watford wanatumia huo mfumo.Unajua hawa Watford wanatumia mfumo kama wa Chelsea. Na anaweka hivyo ili kutumia zaidi ma-winger na kuitanua back three. Ila Spurs akija hivyo jumatano ataumia mapema sana.
Yeah nina hamu sn na hizi game kubwa za away ili nione namna tunavyofanya mambo....ngoja aendelee kuujaribu tu mwanaume atajulikana tu hiyo siku
Aje kutumia kwetu tutakapo kutana, waone mvua ya magoliWakuu naona Spurs leo waujaribia mfumo wao ili wakabiliane na chelsea vzr.
Leo wako na 3-1-4-2.
Wanyama ameshika dimba la ukabaji peke yake
Nakuona Ntuzu, unafurahi sana...Yeah nina hamu sn na hizi game kubwa za away ili nione namna tunavyofanya mambo....
Ktk game ya City nilijifunza mambo mengi sn sasa nataka kuona kwa Spurs na Lfc
Wanaweza kufanya hivyo lkn Dembele atacheza juu kidogo ingawa naona km itakua ngumuWakimuacha Wanyama mwenyewe lazima aelemewe, ila wanaweza fanya hivyo kuchukua tu risk ili wapate watu wengi mbele na washambulie kwa haraka
Mkuu na nyie huko naona mambo si habaNakuona Ntuzu, unafurahi sana...