OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Mambo ya kawaida aya mkuu usiogope...Hiyo Avatar yako![]()
![]()
Mambo ya kawaida aya mkuu usiogope...Hiyo Avatar yako![]()
![]()

Asante mkuu....Hongereni Wakuu humu jukwaa hili, MNATISHAAAA!. Mna timu nzuri ambayo sasa inajiamini sana kwamba kila inaposhuka uwanjani ni ushindi tu. Heri ya Mwaka mpya wa 2017.
Na wewe pia mkuuWakuu mashabiki wa chelsea hongereni kwa ushindi Wakuu.
Niwatakie heri ya mwaka mpya Wakuu na mafanikio mema ktk timu yetu....
Wakigawana point itakuwa vizuriWatu weweeeee...
Top of the league sasa ni kuwaombea njaa man city na liver. Ila hasa liver!
Hata mimi najua Conte atakuwa kajifunza na tutashinda bila shida, tuweke jihadi tu na kuongeza umakini kidogo kutoka kwenye mechi hiiAaah mkuu weupe tu hao
kivip mkuuKumbe humu kuna mashabiki wengi wa chelsea
Huyu jamaa bhana ni mpiganaji mbaya, anajua kutafuta magoli mbayaHii ndio CHELSEA ushindi imeshakua ni kitu cha kawaida tu, Diego Costa! huyu kiumbe anatisha aisee!
tuombee asipate injuryHuyu jamaa bhana ni mpigani mbaya, anajua kutafuta magoli mbaya
Heee! !! Tuko na spurs aseeeChelsea on the top tuwafunge hao Spurs tarehe nne tuweke record
