UrbanGentleman
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 2,584
- 1,886
Sawa sawampira pia sio pool table".......... pool table au draft ndio hamna kugusana.
Sawa sawampira pia sio pool table".......... pool table au draft ndio hamna kugusana.
Kama hauta ingia kwenye hiki kinyanganyiro na arsenal unahisi ni timu gani?Kwanini mkuu???
Nani kivipi???? Si kuelewa hoja yako???Kama hauta ingia kwenye hiki kinyanganyiro namimi unahisi ni nan
Kwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepoChelsea atachukua ubingwa...Man Utd angekuwa point 5 nyuma ya Chelsea labda ndio pekee ingeweza kumpoka Chelsea ubingwa tatiz wapo mbali sana!!Nani anaweza kumpita Chelsea??hilo ndio swali LA msingi!!
Huwa nawashangaa wanaoijumuisha man u ktk mbio za ubingwa hii man u iliyofungwa na chelsea goli 4 hata top 4 sidhani kama wataingiaKwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
man city nao kwa sasa wametepeta sana sidhani kama wapo seriousKwa sasa timu zenye hali ya kugombea ubingwa ni chelsea liver na arsenal man city au man u hawapo kabisa so usijichoshe kifupi man u ata kwenye top four hatakuepo
Wamerara dorooman city nao kwa sasa wametepeta sana sidhani kama wapo serious
mkuu ili kuchukua ubingwa ni vyema kuwachapa hawa wakubwa wenzakoItakuwa ni balaa alafu ksho liver yuko na mteremko Sunderland daah! Ndo maana clop anajitamba sanaa
wasipoamka usingizi watashangaa man u anawapitaWamerara doroo
Ni kweli mdauyaani mkuu hawa liverpool nilitegemea mechi ya everton na hii ya man city lakini hawajapoteza halfu useme wanabahatisha hilo nakataa kabisa mpira unabadilika hii liver ya sasa wamedhamiria
Wee jamaa mtata kweli yaniLiverpool anakania timu kubwa siku zote toka miaka hiyo yeye yuko radhi kufungwa na watford lkn si city or Utd.
Usitetee kwamba tulifungwa mapema sana, Hebu kuwa muwazi mkuu.Chelsea tulipoteza kwa lfc mapema sn wakati huo tulikua tunasuasua lkn kwa sasaivi sio rahisi kabisa.
Tarehe 4 tunaanza na Spurs, najua Spurs atataka kutawala mpira muda wote hapo ndio tutamfunga vibaya sn.
Chelsea ni timu inayocheza kwa nidhamu ya hali ya juu sn kwa dk zote sasa tulizeni ball muone hiyo j5
Sio utata km nimesema uongo niambie......Wee jamaa mtata kweli yani
Kulia kwa William kuna sababu zake nje ya uwanja haswa kumpoteza mama yake kipenzi ...!!!Hilo ndio kubwa mkuu lkn napenda kukwambia hivi sasaivi chelsea ata ikipata sare basi utakua ni msiba mkubwa hiyo ni sare tu.
Unaweza kuona hiyo hali ata kwa wachezaji. Jana Willian alivyofunga goli la tatu tu alilia machozi hii inatokana na uchungu wa timu wachezaji walionao na namna ya umoja na malengo waliyopanga sasa kukitokea shida kidogo inakua balaa.
Sasaivi umefika wakati wa mashabiki wa chelsea kutembea kifua mbele bila kuhofia timu yoyote.
Tarehe 4 tunamaliza kz na Spurs naijua nguvu yao sn hawa Spurs na namna watakavyocheza lkn tutaenda kwa nidhamu ile ile na malengo yale yale. Na baada ya hiyo game tukimpiga Spurs basi wao wenyewe wataanza kusema sisi ni mabingwa maana ndio wamebaki kusubiri ili waone chelsea itasimamishwa na Spurs kitu ambacho hakitotokea
Ndiyo maana timu yako ubingwa wake ni kuingia top 4 kwa sababu mnajiwekea malengo madogo, timu kama chelsea tunachopigania kwa sasa ni ubingwa na sikinginecho ndiyo maana huwezi kumsikia mwanachelsea anayeongelea kuingia top 4 bali anaongelea ubingwa mambo ya top 4 tumewaachia nyie![]()
Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki
Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa
Sioni uwezekano wa chelsea kudondosha points kizembe zembe.....Usitetee kwamba tulifungwa mapema sana, Hebu kuwa muwazi mkuu.
Je, huko mbeleni nako tukisimamishwa unaleta kisingizio gani humu......?
Daa mazee nawazia io spurs tu, ivi tutatoka kweli?? Maake jamaa mtata sana hasa akiwa kwao ..bado clop wa liver nae anatuchimba bitii na maneno ake; alafu ksho yuko na Sunderland. Point tatu izo ksho znakatiwa chinn uuwiii Mungu saidia.
Ata hiyo niliyotoa mimi yaweza kua moja ya sbbuKulia kwa William kuna sababu zake nje ya uwanja haswa kumpoteza mama yake kipenzi ...!!!
Ndiyo maana timu yako ubingwa wake ni kuingia top 4 kwa sababu mnajiwekea malengo madogo, timu kama chelsea tunachopigania kwa sasa ni ubingwa na sikinginecho ndiyo maana huwezi kumsikia mwanachelsea anayeongelea kuingia top 4 bali anaongelea ubingwa mambo ya top 4 tumewaachia nyie
