Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

09eeb045b8462f10fe1dbf7552122c1e.jpg


Nawaheshimu sana wana jukwaa hili ila sizani kama mmekosa fadhila kiasi hiki

Kwamba ni rugby au mieleka?? Niseme tuu msiuzungumzie ubingwa kwa sasa
 
Chelsea atachukua ubingwa...Man Utd angekuwa point 5 nyuma ya Chelsea labda ndio pekee ingeweza kumpoka Chelsea ubingwa tatiz wapo mbali sana!!Nani anaweza kumpita Chelsea??hilo ndio swali LA msingi!!
 
Sa Chelsea ana makali gani? Muda mwingine kwenye mpira timu kuwin haiitaji kuwa kwenye ubora wake mkuu. Chelsea kamfunga bromwich na Palace bila makali yoyote
Statistics zinaonyesha ktk hiyo michezo chelsea aliongoza kila kitu sasa unaposema bila makali unamaanisha nini???
 
Chelsea tulipoteza kwa lfc mapema sn wakati huo tulikua tunasuasua lkn kwa sasaivi sio rahisi kabisa.


Tarehe 4 tunaanza na Spurs, najua Spurs atataka kutawala mpira muda wote hapo ndio tutamfunga vibaya sn.

Chelsea ni timu inayocheza kwa nidhamu ya hali ya juu sn kwa dk zote sasa tulizeni ball muone hiyo j5
Yani unavyoisifia Chelsea utazani itashinda kila mechi
 
Hilo ndio kubwa mkuu lkn napenda kukwambia hivi sasaivi chelsea ata ikipata sare basi utakua ni msiba mkubwa hiyo ni sare tu.


Unaweza kuona hiyo hali ata kwa wachezaji. Jana Willian alivyofunga goli la tatu tu alilia machozi hii inatokana na uchungu wa timu wachezaji walionao na namna ya umoja na malengo waliyopanga sasa kukitokea shida kidogo inakua balaa.


Sasaivi umefika wakati wa mashabiki wa chelsea kutembea kifua mbele bila kuhofia timu yoyote.

Tarehe 4 tunamaliza kz na Spurs naijua nguvu yao sn hawa Spurs na namna watakavyocheza lkn tutaenda kwa nidhamu ile ile na malengo yale yale. Na baada ya hiyo game tukimpiga Spurs basi wao wenyewe wataanza kusema sisi ni mabingwa maana ndio wamebaki kusubiri ili waone chelsea itasimamishwa na Spurs kitu ambacho hakitotokea
Kumbe ata hujui wilian alilia kisa nini mkuu?
 
Statistics zinaonyesha ktk hiyo michezo chelsea aliongoza kila kitu sasa unaposema bila makali unamaanisha nini???
Mkuu labda atuambie yeye ubora wa team kwa uelewa wake unapimwaje? Maana kama haeleweki vile.
 
Kumbe ata hujui wilian alilia kisa nini mkuu?
Kwahiyo wewe katika maelezo yote hayo umechukua point ya Wilian kulia tu? Hahahaaa! Kijana inaonekana hupendezewi kwa current performance ya The blues,itabidi uzowee tu maana hakuna dalili yeyote ya Chelsea ku slow down, jiandae kisaikolojia tu ndio jambo lililobaki kwako hilo.
 
Sasaivi hawa wakosoaji uchwara nitajibu hoja zao zote maana km chelsea sasaivi iko vzr na tuko tayari kwa yoyote
Mkuu huyo hayupo tayari kuelewa utapoteza time yako bure tu,
muache aendelee kuumia ndani kwa ndani huku sisi tukitizama kombe mbele yetu na si kingine.
 
Mkuu huyo hayupo tayari kuelewa utapoteza time yako bure tu,
muache aendelee kuumia ndani kwa ndani huku sisi tukitizama kombe mbele yetu na si kingine.
Tutafanya usajili mkubwa kwa hii January wa wachezaji wawili watatu kuimarisha kikosi chetu na kua na squad imara yenye wachezaji safi.....


Shukran sn zimwendee Conte kwa kuwajali wachezaji kiafya ata kuwaepusha wasifungiwe...


Nidhamu ya Costa ni mfano tosha sn huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom