Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1969.jpg

Chelsea’s Willian celebrates scoring his first goal against Stoke.
mwanzo nilikuwa najua wewe ni mwenzetu ktk thread hii nilivokucheki jukwaa la arsenal na namna ulivyokuwa unacomment nikaamini wewe nimwana arsenal, mkuu hongera sana uko flexible huwezi jua wewe ni timu gani big up sana mkubwa@Bak
 
Shukrani sana Mkuu. Heri ya mwaka mpya.

mwanzo nilikuwa najua wewe ni mwenzetu ktk thread hii nilivokucheki jukwaa la arsenal na namna ulivyokuwa unacomment nikaamini wewe nimwana arsenal, mkuu hongera sana uko flexible huwezi jua wewe ni timu gani big up sana mkubwa@Bak
 
Liverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.

Ngoja tutamuona tena Liverpool na Utd tarehe 15 OT
mkuu hawa liver kwa timu kubwa anajua kuzichanga kalata zake vizuri utasubiri uchoke
 
Liverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.

Ngoja tutamuona tena Liverpool na Utd tarehe 15 OT
mechi ya man city na chelsea man city alitawala hivyohivyo, kumbe kutawala kwa man city hakuzipi timu pinzani shida cha msingi ni point 3 wewe unatawala wengine wanakulaga in manfongo voice
 
City hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa
 
sisi wenyewe wapinzani wetu wanatusema hivyohivyo kwamba bahati inatubeba lakini tunaongoza ligi kumbe ushindi wakati mwingine unaenda na bahati mfano leo willian alikuwa na bahati ya kufunga magoli hii inatokana na yeye maranyingi ni mkosaji mzuri wa magoli na tumekuwa tukimulaumu sana kakini leo is the man of match
 
Mkuu unajua najaribu sn kuitafakari hii lfc ambayo watu wanaona iko moto.... Binafsi sioni kitu kikubwa sn kwa hawa Jamaa. Tena km wanakutana na chelsea tutawalazimisha kufata mchezo watu hapo ndio tutawapiga vzr. Sisi tunacheza mpira wa kiitaly hasa yani adui yako unamlazimisha afate vile unavyotaka wewe
 
Nikija ktk swala la baadhi ya mashabiki kumlaumu Willian ni kwamba wanakosea kwasababu ni wachezaji wengi tu hukosa magoli. Ata leo Hazard alikosa goli kipa akiwa kalala chini na huyo huyo kipa akafuta.... So ukifika muda atafunga tu
 
Mkuu unajua najaribu sn kuitafakari hii lfc ambayo watu wanaona iko moto.... Binafsi sioni kitu kikubwa sn kwa hawa Jamaa. Tena km wanakutana na chelsea tutawalazimisha kufata mchezo watu hapo ndio tutawapiga vzr. Sisi tunacheza mpira wa kiitaly hasa yani adui yako unamlazimisha afate vile unavyotaka wewe
Tuombe Mungu siku hiyo vijana wetu wote first eleven wawepo
 
Hilo ndio kubwa mkuu.

Uzuri Conte na wachezaji wenyewe wanajitunza wasiumie au kufanya makosa ya ajabu ajabu wakafungiwa ata hivyo tutasajili hii January ata wachezaji wawili hivi
 
City hawakua na bahati km waliyokua nayo lfc lkn kwa jinsi lfc inavyocheza ifanye kz sn kushindana na hizi timu kubwa
Acha ushabiki mkuu mpira unabadilika kulingana na gemu we unazani liver kucheza ivyo leo ndo atacheza kila siku
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom