bruno twemanye
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 801
- 388
Chelsea oyeleeeeeee
hao jamaa ni watata sana hasa wakiwa nyumbani pia hiyo mechi ni derby droo itakuwa vyema kwa chelseaHeee! !! Tuko na spurs aseee![]()
![]()
![]()
mechi ngumu sana kwa chelseaHeee! !! Tuko na spurs aseee![]()
![]()
![]()
Itakuwa ngumu ndio ila ushindi ndio wazo la kwanza. Spurs ni moja ya timu iliyokuwa ngumu sana kwetu katika mzunguko wa kwanza japo tulishinda.hao jamaa ni watata sana hasa wakiwa nyumbani pia hiyo mechi ni derby droo itakuwa vyema kwa chelsea
Magoli ya huyu cost a hatari tupu ...Hii ndio CHELSEA ushindi imeshakua ni kitu cha kawaida tu, Diego Costa! huyu kiumbe anatisha aisee!
Tunawafunga kiroho safihao jamaa ni watata sana hasa wakiwa nyumbani pia hiyo mechi ni derby droo itakuwa vyema kwa chelsea
Ha ha ha ha ha, umenifurahisha mkuuNaona hadi washabiki wameongezeka kwenye jukwaa hili...[HASHTAG]#wewatchinyou[/HASHTAG]
Nazani mpaka hapo ulipo kwa haya matokeo ya Man City na Liverpool umeshaona tofauti na maneno yakoNa hapo kwenye kufunguka kwa liver ndipo kulipo kaburi lao mkuu.
Guardiola akijipanga vizuri ana possibility kubwa ya kushinda kiliko Klopp.
Klopp hana alternatives nyingi hasa kule mbele. Ila Guardiola ana wachezaji wengi wenye uwezo tofauti tofauti kule mbele. Kwa game ya kesho...dont write them off nakuambia.
Ndio maana nikasema kuwa Guardiola akikutana na timu yenye mnyambuliko wa wachezaji wanaowaza kushambulia kuliko kujilinda basi Guardiola atachemka tuu.uzuri wa timu zote nimarisk taker yaani hawajali kufungwa wenyewe wanachoamini funga goli kadri uwezavyo adui yako atakata tamaa.
Hivyo basi kwangu liver kwa open football ya namna hiyo nampa nafasi na hili linajidhirisha kwani ndiyo timu iliyofunga goli nyingi kuliko timu zote
Liverpool have the spirit ila guardiola has the players.
Simtetei yeyote ila tu kwa mtazamo wangu finyu sidhani kamaKlopp atashinda

Ukae ukijua na usije waza kuifananisha Arsenal na Liverpool.Mkuu leo tunaangalia viwango vya hizi timu tu lkn km city watakua wazuri km walivyocheza na Arsenal basi lfc atakua na kz kubwa lkn hakuna anaewabez LFC
Mkuu, yani watu wengine kama hawa wanashangaza sana, sijui itakuwa viroba....!!!liver si wakali kiivyo kulinganisha na timu zilizo nyuma yake au unamaanisha nini?
Unaposema liver si wakali bila shaka hata timu zilizonyuma ya liver si wakali kiivyo hapo ndipo liver anapopata advantage kuwaongoza.

Liverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.Ukae ukijua na usije waza kuifananisha Arsenal na Liverpool.
Ina maana hata Chelsea alimshinda Man City kwa bahatiLiverpool imeshinda lkn ni kwa bahati tu. City walitawala kila kitu na kwa huu uchezaji wa Liverpool sizani ktk second round atazifunga timu kubwa.
Ngoja tutamuona tena Liverpool na Utd tarehe 15 OT
waache wapigwe tu maana tumechoka kila siku kocha unaenda na mbinu moja tu iliyofeliNaona kama man city jahazi linaelekea kuzama
ilikuwa wazi kabisa man city lazima apoteze mkuuNdio maana nikasema kuwa Guardiola akikutana na timu yenye mnyambuliko wa wachezaji wanaowaza kushambulia kuliko kujilinda basi Guardiola atachemka tuu.
Kwa Man City hii ya hawa vibabu wapiga chuma itachemka tuu