masijala
JF-Expert Member
- Oct 3, 2016
- 280
- 425
Huyu kante leo amechoma goli zote, najua ni mambo ya short break hayo j4 hatafanya hivyo najua so tutashindà, willian ameshaanza kuelewa namna ya kufanya movements ndani ya 3-4-3 so hiyo competetion ya namba ni tamu mno pedro vs willian onfire, huyu moses nae mungu anamuona