RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 57,875
- 129,882
Kumbe hata hufahamu The Sun ni kina nani au ni nini? Hilo ni mojawapo ya tabloids ambazo zinamilikiwa katika kundi moja na Sky Sports - Majabali wa sports, News of the world nk. wanakula sahani moja na mashirika yote makubwa duniani kwa habari i.e. BBC, CNN, CBS etc. You gotta a lotta to learn!
kaka wapi nimekwambia sijui THE SUN nini??Usianzishe ligi ingine,hunijui sikujui,hujui nimeanza kusoma lini the sun kaka,FYI kazini kila mtu ananijua as MR THE SUNaka MR PAGE 3,coz kila nikiingia kazini THE SUN liko mkononi,i've got a lot to learn but not WHAT THE SUN IS!