Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hakuna anaewazarau lfc lkn wao lfc wanabebwa na wao kucheza nyumbani lkn km city watakua na Sane, Sterling, Silva, De bruyne na Kuna. Then Yaya na Fenandinho wakawepo hapo na wakacheza kwa kiwango kikubwa sioni namna lfc inaweza kuwazuia hao. Hasa mkizingatia Coutinho na Matip wanaweza wasicheze hawako fiti.
toka ligi ianze mzunguko wa kwanza hawajafungwa nyumbani, hivyo pamoja ningependa watoke sare lakini nionavyo form ya liver, kesho liver anamchapa mtu goli nyingi man city si wazuri kiivyo nadhani kesho utaniambia
 
Ni kweli unachosema kaka, lakini ukiangalia aina ya wachezaji waliopo kwenye hizo timu bado unaweza kupredict top three, kwa mtazamo wangu, Chelsea, Liver na United ndio watagombea nafasi tatu za juu,

Arsenal wanashida ya Kocha kukosa mbinu za kimchezo hasa ikifikia kipindi hichi cha round ya pili, yeye huwa habadiriki kwa lolote, mfano anapofanyaga sub ya kumwingiza Giroud huwa hamuandalii mazingira ya kuweza kufunga kwa maana ya kubadirisha aina ya mpira anaocheza na kwenda kwenye mpira wa cross ili jamaa apige vichwa, jamaa ni mzuri wa vichwa lakini huwa anafunga kwa bahati na sio kwa malengo

City bado wanashida ya Kocha kuwa mgeni wa league na pia wanashida ya kina toure na Fenarndinho, hao jamaa wana uzito fulani ambao wakipata timu zenye kukimbiza na middle wepesi watapata shida, cha pili cocha bado anaangaika na kupata timu ya kudumu 1st 11, mechi ya mwisho waliyocheza na Hull city, dakika ya 30 tu ya kipindi cha kwanza alishamwita Fenandinho kwenye benchi, Fenandinho alibakia ndani kwa sababu kuna mtu aliumia hivyo ilibidi atoke na Fena akacheza mpaka mwisho, so kocha anaweweseka

Man united kwa sasa wanacheza mind game, Mou anaanza kutumia uwezo wa wachezaji na uwezo wake binafsi, hivyo kwa huo utundu na ubunifu wa Mou timu itafika top 3

Liver wapo fit, pamoja na mapungufu ya hapa na pale ila watafika top 3
laa kweli kila mtu na maono yake yaani top three unawaingiza man u mmmh man u hata top five sidhani kama wataingia nionavyo mimi table ilivyokaa ndivyo kila timu itakavyomaliza
 
Guardiola ili na yeye awe Ktk miongoni mwa timu zinazowania ubingwa na huo mchezo wao utakua mgumu sn km Guardiola atatilia uzito huu mchezo.

Alafu huu mchezo wao City niliona km Guardiola alitaka kuwapumzisha Koralov na Zabaleta. Alafu kumbuka Aguero atakua uwanjani siku hiyo. Na pia kuna wachezaji pale mbele wa City wameanza kuelewana na kua moto sn. Kuna Sane, Sterling, Silva na De Bruyne na Kuna mwenyewe hapa sipati picha km watapangwa alafu huku nyuma akae Toure na Fenandinho. Hii itakua shughuli pevu sioni namna lfc wanaweza kuwazuia hawa.
mkuu haya maneno uje uyaseme tena baada ya mechi liver si warahisi kiivyo tena nyumbani kwao
 
toka ligi ianze mzunguko wa kwanza hawajafungwa nyumbani, hivyo pamoja ningependa watoke sare lakini nionavyo form ya liver, kesho liver anamchapa mtu goli nyingi man city si wazuri kiivyo nadhani kesho utaniambia
Ndio kitu ninachokifikiria hicho Mkuu japo dk 90 kitaeleweka tuu.

Hawa Man City nakwambia watakimbizwa wala waendesha bodaboda.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Guardiola ili na yeye awe Ktk miongoni mwa timu zinazowania ubingwa na huo mchezo wao utakua mgumu sn km Guardiola atatilia uzito huu mchezo.

Alafu huu mchezo wao City niliona km Guardiola alitaka kuwapumzisha Koralov na Zabaleta. Alafu kumbuka Aguero atakua uwanjani siku hiyo. Na pia kuna wachezaji pale mbele wa City wameanza kuelewana na kua moto sn. Kuna Sane, Sterling, Silva na De Bruyne na Kuna mwenyewe hapa sipati picha km watapangwa alafu huku nyuma akae Toure na Fenandinho. Hii itakua shughuli pevu sioni namna lfc wanaweza kuwazuia hawa.
 
Ndio kitu ninachokifikiria hicho Mkuu japo dk 90 kitaeleweka tuu.

Hawa Man City nakwambia watakimbizwa wala waendesha bodaboda.
tena watapigwa si chini ya goli 3,hawa liver msimu huu wamekamia sana ndiyo maana hawatuachii tupumue. Ila dawa yao inachemka
 
c6a9a928d9b65270c5a81679fd9daf1f.jpg

Good stats...
 
Kwa game ya kesho...Ngolo na Fabregas wangeanza. Kule mbele kwa kuwa Pedro hayupo basi nadhani inafahamika nani wataanza.

Nimesema Fab maana Stoke wanajua kutufunga ni kazi ngumu hivyo watajitahidi kujihami sana. Kunahitajika mtu kama Fab kupenyeza mipira.

Bado ninalia na shots za mwisho wa kina Willian na Moses. Yaani utadhani huwa hawafanyi mazoezi ya kulenga goli wakiwa Cobham. Natamani sana kuona mabadiliko upande huo kesho.

Nadhani nitaweza kuangalia game ya kesho kwenye luninba, ninaamini tutashinda...inawezekana.
 
Kule kwa wanaotufuatia...ingependeza kama wakitoa draw ambayo ndiyo possibility kubwa maana udhaifu wa mmoja ndo nguvu ya mwenzake. Ila Man city naona wakipangwa Fernandinho na Toure pale kati hapawi stable nadhani ni uzee. Sijui kama kocha wao atalishughulikia ama la. Vyovyote vile adui tunamwombea njaa, draw! Ila hata akishinda yeyote...kwangu furaha.
 
Natamani ningewacharaza viboko hao wanaoiweka man utd top three..tena hata sio top four. Sijui ni nini hasa kinawasukuma kusema hivyo.

Man utd hii ya kushinda game moja na kufungwa inayofuata? Inawezekana kweli wame improve, ni kweli, lakini unampongeza anayejitahidi kumkimbiza muangalie na aliye mbele yake. Je, man utd ina uwezo wa kuwafunga liverpool na man city?

Hata Arsenal na uchovu wake lakini sidhani kama man utd ana uwezo -kwa sasa- wa kumfunga. Labda draw.

Personally kwa kuangalia trend ya sasa hivi, nampa man utd nafasi ya tano. Kweli kabisa bila unafiki wala ushabiki.

Liver anaweza kushuka kidogo January hii kwa kuondoka kwa Mane na Coutinho na majeruhi yake lakini nadhani mechi saba za mwisho watakuwa hatari sana ndiyo maana bado nawawek kwenye top four.

Man city..well..ni man city...nawaweka cause ya wachezaji walionao. They have potential.
 
Kule kwa wanaotufuatia...ingependeza kama wakitoa draw ambayo ndiyo possibility kubwa maana udhaifu wa mmoja ndo nguvu ya mwenzake. Ila Man city naona wakipangwa Fernandinho na Toure pale kati hapawi stable nadhani ni uzee. Sijui kama kocha wao atalishughulikia ama la. Vyovyote vile adui tunamwombea njaa, draw! Ila hata akishinda yeyote...kwangu furaha.
Habari Mentor kuhusu kutoka droo ndiyo ombi kubwa lakini ukiicheki liver kwa jicho la tatu jamaa wako serious na kombe sidhani kama wataruhusu droo hiyo game itakuwa open mwenye washambuliaji wazuri ndiye ataibuka mshindi ila mimi nampa nafasi liver,kwangu miye city siwaamini na hata kwenye ubingwa nilishawatoa toka walipofungwa na leicercity goli nadhani 4 hawako serious kabisa
 
Na hapo kwenye kufunguka kwa liver ndipo kulipo kaburi lao mkuu.

Guardiola akijipanga vizuri ana possibility kubwa ya kushinda kiliko Klopp.

Klopp hana alternatives nyingi hasa kule mbele. Ila Guardiola ana wachezaji wengi wenye uwezo tofauti tofauti kule mbele. Kwa game ya kesho...dont write them off nakuambia.
 
uzuri wa timu zote nimarisk taker yaani hawajali kufungwa wenyewe wanachoamini funga goli kadri uwezavyo adui yako atakata tamaa.
Hivyo basi kwangu liver kwa open football ya namna hiyo nampa nafasi na hili linajidhirisha kwani ndiyo timu iliyofunga goli nyingi kuliko timu zote
 
Na kwa top four ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi kuliko wote.

Tofautisha hilo na man city. Hivyo basi Guardiola akiweza kupanga midfield yake vizuri basi ana chance kubwa za kushinda.
 
Na kwa top four ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi kuliko wote.

Tofautisha hilo na man city. Hivyo basi Guardiola akiweza kupanga midfield yake vizuri basi ana chance kubwa za kushinda.
Mentor huyu guardiola wenu leo mtamkataa hawa liver wanacheza kwa spirit kubwa mno ambapo naamini man city hawana hiyo spirit ngoja tusubiri
 
Mentor huyu guardiola wenu leo mtamkataa hawa liver wanacheza kwa spirit kubwa mno ambapo naamini man city hawana hiyo spirit ngoja tusubiri
Mkuu leo tunaangalia viwango vya hizi timu tu lkn km city watakua wazuri km walivyocheza na Arsenal basi lfc atakua na kz kubwa lkn hakuna anaewabez LFC
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom