Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na kwa top four ndiyo timu iliyofungwa magoli mengi kuliko wote.

Tofautisha hilo na man city. Hivyo basi Guardiola akiweza kupanga midfield yake vizuri basi ana chance kubwa za kushinda.
Ni timu imefungwa goli nyingi kwa top 4 lakini ni ya pili ktk msimamo yaani imewazidi hao waliofungwa magoli machache,hapo utajiuliza tatizo ni nini kwa timu zinazoifuata liver mpaka wako nyuma ya timu iliofungwa magoli mengi
 
Kocha wetu Conte kapata injury jana wakati anatrain na vijana wake pale cobham. Lakini musiofu blues wenzangu jamaa atakuwepo kama kawaida kwenye dogout kuwaongoza vijana kuaga mwaka pale stamford bridge mida ya 12 hivi jion.
 
Kwa timu kama Man city pia wanaweza kujiuliza wanawezaje ku maximize on the weakness!
 
Kocha wetu Conte kapata injury jana wakati anatrain na vijana wake pale cobham. Lakini musiofu blues wenzangu jamaa atakuwepo kama kawaida kwenye dogout kuwaongoza vijana kuaga mwaka pale stamford bridge mida ya 12 hivi jion.
Na kasema kuwa hatokaa chini, atasimama mwanzo mwisho.
 
Liverpool have the spirit ila guardiola has the players.

Simtetei yeyote ila tu kwa mtazamo wangu finyu sidhani kamaKlopp atashinda
unaweza ukawa na players wasiomotivated ukashindwa refer msimu uliopita kwa upande wa mourinho chelsea ilikuwa na wachezaji waliochukua ubingwa msimu wa 2014/2015 lakini nadhani unafahamu kilichotutokea.
Vilevile naomba ufafanuzi kuhusu leicercity kuchukua ubingwa ni kwa sababu ya spirit ya wachezaji au ilikuwa na wachezaji wazuri?
 
Ni timu imefungwa goli nyingi kwa top 4 lakini ni ya pili ktk msimamo yaani imewazidi hao waliofungwa magoli machache,hapo utajiuliza tatizo ni nini kwa timu zinazoifuata liver mpaka wako nyuma ya timu iliofungwa magoli mengi
Bado huo ni mfumo wao tu unaruhusu wafungwe magoli mengi.... Lfc sio wakali kivile na ata huyo Klopp bado hajaifikisha lfc ktk kiwango cha timu yake ya zamani BvD
 
Liverpool have the spirit ila guardiola has the players.

Simtetei yeyote ila tu kwa mtazamo wangu finyu sidhani kamaKlopp atashinda
unaweza ukawa na players wasiomotivated ukashindwa refer msimu uliopita kwa upande wa mourinho chelsea ilikuwa na wachezaji waliochukua ubingwa msimu wa 2014/2015 lakini nadhani unafahamu kilichotutokea msimu wa 2015/2016

Vilevile naomba ufafanuzi kuhusu leicercity kuchukua ubingwa ni kwa sababu ya spirit ya wachezaji au ilikuwa na wachezaji wazuri?
 
Liverpool have the spirit ila guardiola has the players.

Simtetei yeyote ila tu kwa mtazamo wangu finyu sidhani kamaKlopp atashinda
Yes Mkuu Guardiola anao wachezaji wazuri. Hili ndio ata mimi ninalo liona.....
 
unaweza ukawa na players wasiomotivated ukashindwa refer msimu uliopita kwa upande wa mourinho chelsea ilikuwa na wachezaji waliochukua ubingwa msimu wa 2014/2015 lakini nadhani unafahamu kilichotutokea msimu wa 2015/2016

Vilevile naomba ufafanuzi kuhusu leicercity kuchukua ubingwa ni kwa sababu ya spirit ya wachezaji au ilikuwa na wachezaji wazuri?
You have a point kwa hapo.

Ila tukiongelea hao wawili..city na liver...
 
Bado huo ni mfumo wao tu unaruhusu wafungwe magoli mengi.... Lfc sio wakali kivile na ata huyo Klopp bado hajaifikisha lfc ktk kiwango cha timu yake ya zamani BvD
liver si wakali kiivyo kulinganisha na timu zilizo nyuma yake au unamaanisha nini?
Unaposema liver si wakali bila shaka hata timu zilizonyuma ya liver si wakali kiivyo hapo ndipo liver anapopata advantage kuwaongoza.
 
Yes Mkuu Guardiola anao wachezaji wazuri. Hili ndio ata mimi ninalo liona.....
Ntuzu unaweza ukawa na wachezaji wazuri lakini wasikupe matokeo chanya lakini ukawa na wachezaji wa kawaida lakini wakakupa matokeo mazuri nadhani Ntuzu bado unamawazo yakina ferguson ambapo kwa kuangalia usajili na aina ya wachezaji kwa kila timu ilionao akaiondoa chelsea top 4 bila kujua mpira ni zaidi ya wachezaji wazuri, haohao man city tuliwapiga goli tatu palepale etihad tena wachezaji wao wazuri wakipewa red card kwa fustration tena kabla kidonda hakijapoa wakapigwa goli 4 na liecercity wanaotaka kushuka daraja.

Kwa kuangalia kwenye makalatasi man zote mbili ndizo zenye wachezaji wazuri epl lakini man city nafasi ya tatu na leo akipigwa sijui atakuwa wa ngapi yule mwingine na pogba wake wako nafasi ya 6 hivyo mkuu ntuzu hayo ya kuwa na wachezaji wazuri gunboot tu kuogofya wapinzani lakini in realright football is more than classic players
 
Sawa mkuu mi nafikiri tusubiri muda ufike tuone mambo lkn mimi naona km lfc watakua na nguvu kwasababu wako kwao lkn km city wataweza kuwatuliza ile presha yao basi lfc wanaweza kuwekwa mfukoni
 
Ntuzu unaweza ukawa na wachezaji wazuri lakini wasikupe matokeo chanya lakini ukawa na wachezaji wa kawaida lakini wakakupa matokeo mazuri nadhani Ntuzu bado unamawazo yakina ferguson ambapo kwa kuangalia usajili na aina ya wachezaji kwa kila timu ilionao akaiondoa chelsea top 4 bila kujua mpira ni zaidi ya wachezaji wazuri, haohao man city tuliwapiga goli tatu palepale etihad tena wachezaji wao wazuri wakipewa red card kwa fustration tena kabla kidonda hakijapoa wakapigwa goli 4 na liecercity wanaotaka kushuka daraja.

Kwa kuangalia kwenye makalatasi man zote mbili ndizo zenye wachezaji wazuri epl lakini man city nafasi ya tatu na leo akipigwa sijui atakuwa wa ngapi yule mwingine na pogba wake wako nafasi ya 6 hivyo mkuu ntuzu hayo ya kuwa na wachezaji wazuri gunboot tu kuogofya wapinzani lakini in realright football is more than classic players
Mkuu hebu ona Guardiola anavyojipanga..... Bahati mbaya Sane hatokuwepo

Manchester City boss Pep Guardiola: This
is what we must do to beat Liverpool
PEP GUARDIOLA says Manchester City must
match Liverpool’s intensity if they are to end
their Anfield hoodoo.
Login
Write a comment
Pep Guardiola is hoping to end Man City's hodoo
against Liverpool at Anfield
Manchester City have beaten their rivals on their
own ground only once in the last 35 years – in
May 2003 – and Guardiola saw at first hand on
Boxing Day the strength of Jurgen Klopp’s title
chasers as they swept aside Stoke 4-1.
Tomorrow's game is one neither side can afford
to lose as they attempt to chase down leaders
Chelsea and Guardiola says he is well aware of
the threat posed by Klopp’s high pressing style
from their encounters in the Bundesliga when in
charge of Bayern Munich and Borussia
Dortmund.
Pep Guardiola said: “I don’t know what will
happen tomorrow but we have to equal their
intensity. Anfield will play a big role but what
happened in the past stays in the past.
Sergio Aguero will return against Liverpool after
serving his four-match ban
“I was lucky to play against Jurgen Klopp many
times in Germany and I think we know each
other quite well. I saw Liverpool this year many
times on television but it [Tuesday] was my day
off and I decided to see the game – and thank
you Liverpool for inviting me.”
"They are definitely title contenders. There are
six teams fighting for the title and for the first
four positions fighting for the Champions League.
It will be a good fight until the end of the
season."
Guardiola says Sergio Aguero is bristling to get
started again after a four-game suspension for
his reckless tackle on Chelsea's David Luiz
earlier this month.
John Stones will be fit to face Liverpool after
recovering from a knock against Hull
During his enforced absence, Guardiola allowed
the striker to return to his native Argentina to
see family and friends but despite his lack of
action he says he has looked sharp enough in
training to go straight back into the team
tomorrow.
He added: “He is ready. He came back good
from Argentina, finally back after foru games
banned – and seven in total this season. We are
happy he is back.”
Another boost for City is that John Stones – who
limped off against Hull on Boxing Day with a
knee injury - is fit to return against Liverpool .
But Leroy Sane is out along with long-term
absentees Ilkay Gundogan and Vincent Kompany.
 
ni haki yake kujipanga lakini sidhani kama klopp anabweteka lakini kitakachoamua mchezo wa leo ni atakayetumia nafasi vizuri za kufunga
 
BXZ: RUMOURS: Chelsea open talks with Arturo Vidal

Antonio Conte is in line for a reunion with Arturo Vidal after Chelsea opened talks to bring the Chilean to Stamford Bridge, according to English media.

Now at Bayern Munich, Vidal signed for Conte's Juventus from Udinese in 2011 and lifted four Scudetti before moving to Bavaria.

And the newspaper asserts that Conte, now in charge at Stamford Bridge, met with the midfielder and his agents on Boxing Day with a view to a transfer during the January window.

To read full article - RUMOURS: Chelsea open talks with Arturo Vidal - Goal.com

To follow LIVE Football & Football News on Duta:
Add to your group: +917550034896

Type BXZ to 'like'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom