Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mkuu ombi langu ni kuwa uwe "active" kutu-inform habari zote za chelsea daily, transfers+game za chelsea+pictures+videos+etc" Thanks in advance nadhani umenielewa.

Nitajaribu kwa uwezo wangu wote Mkuu. Ila kama nilivyosema mwanzo huu ni uzi wetu sote tushirikiane wote kuuweka sawa, kupeana habari zote na maudabwiudabwi yote ili tu tufurahi na uz wetu na timu yetu.

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
 
Ikiwa conte atatumia hata £ 35 kumsajiri HAKAN CALHANOGLU wa buyer 04 moyo utatulia na ubingwa uhakika zaidi set pieces master, kifupi jamaa anajua kutupia nje ya 18 kawaida ila tatizo jamaa wapo uefa dirisha dogo sijui kama watamuachia,nimeichungulia tu sehemu conte katuma mascout
 
Kaka Chelsea wanacheza mfumo wa 3-4-3, huo mchezo unabadirika kulingana na mazingira, kama tunashambuliwa kwa shabulizi la kawaida na la mpito, basi mfumo unakuwa 4-3-3, beki zinakuwa nne, Alonso Kushoto, kati Luis na Cahil na kulia ni Azip, na katikati kunakuwa na Matic, Kante na Victor moses na mbele kunakuwa na Willian, Hazard na Costa

Tukiwa tunashambuliwa kwa muda mrefu na timu inazidiwa basi mfumo unabadirika na kiwa 5-4-1, nyuma kunakuwa na beki tano, Luis, Azip, Cahil, Alonso na Victor moses, katikati tunakuwa na Matic, Hazard, Kante na Willian na mbele anabaki Costa kusubiri counter attack.

Tukiwa tunashambulia kwa kujihami, yaani mechi iko 50:50, mfumo unakuwa 3-4-3, na tukiwa tunatawala mechi basi mfumo unageuka na kuwa 2-3-5 yaani hapo lazima ufungwe, nyumba anabaki Azip na Cahil, kati anasogea Luis, Matic na Konte mbele kunakuwa na Victor, William, Hazard, Costa na Alonso

Huo ni mfumo mzuri sana, sema unahitaji wachezaji wepesi, inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuhold Mipira na wachezaji wenye skill zakufunga
Umetisha Mkuu. .
Salute. . . ! ! ! ? ?
 
Kwa kweli Liver anatukaba sana sana,

Kwa mechi yao na City, Liver wana asilimia kubwa ya kushinda, wako wepesi zaidi ya City, city ni wazito sana hasa viungo na mabeki hawataiweza kasi ya Liver,
Liver atadondosha point kwa vitumu vidogo au timu kubwa kama Chelsea, Man na Totenham
Guardiola ili na yeye awe Ktk miongoni mwa timu zinazowania ubingwa na huo mchezo wao utakua mgumu sn km Guardiola atatilia uzito huu mchezo.

Alafu huu mchezo wao City niliona km Guardiola alitaka kuwapumzisha Koralov na Zabaleta. Alafu kumbuka Aguero atakua uwanjani siku hiyo. Na pia kuna wachezaji pale mbele wa City wameanza kuelewana na kua moto sn. Kuna Sane, Sterling, Silva na De Bruyne na Kuna mwenyewe hapa sipati picha km watapangwa alafu huku nyuma akae Toure na Fenandinho. Hii itakua shughuli pevu sioni namna lfc wanaweza kuwazuia hawa.
 
Labda wabadilike kwa kupania mechi, lakini mechi iliyopita, Toure na Fernandinho walikuwa wazito sana, walishinda tatu kwa ukongwe wao, lakini hawakuwa fit kabisa
 
Kwa kweli Liver anatukaba sana sana,

Kwa mechi yao na City, Liver wana asilimia kubwa ya kushinda, wako wepesi zaidi ya City, city ni wazito sana hasa viungo na mabeki hawataiweza kasi ya Liver,
Liver atadondosha point kwa vitumu vidogo au timu kubwa kama Chelsea, Man na Totenham
Nilijaribu kuangalia mechi ya Arsenal na City mara mbili mbili, mkuu hawa kina Sane, Sterling na Silva na De Bruyne na Toure walikua wanafanya vitu vikubwa sn ni chelsea tu ambayo haiwezi kuruhusu hawa watoto wakatawala mchezo namna hiyo. Sasa kwa mids za lfc na beki zao zitapata shida sn.
 
Kweli ile mechi walicheza vizuri sana hasa kipindi cha pili, lakini mechi yao ya mwisho na Hull City hawakuwa wazuri
 
Labda wabadilike kwa kupania mechi, lakini mechi iliyopita, Toure na Fernandinho walikuwa wazito sana, walishinda tatu kwa ukongwe wao, lakini hawakuwa fit kabisa
Mkuu City wamebadilika sn. Hasa huko mbele wako vzr sema Guardiola na yeye hua ana matatizo yake ya kumtoa Sane mapema na kumuingiza Navas lkn huyu dogo yeye na Silva ni msaada sn kwa City sasa lfc wachezaji km hawa haina
 
Kweli ile mechi walicheza vizuri sana hasa kipindi cha pili, lakini mechi yao ya mwisho na Hull City hawakuwa wazuri
Hii ya Hull City walikua km wanapumzika tu kwa ajili ya mechi yao na lfc
 
Mkuu City wamebadilika sn. Hasa huko mbele wako vzr sema Guardiola na yeye hua ana matatizo yake ya kumtoa Sane mapema na kumuingiza Navas lkn huyu dogo yeye na Silva ni msaada sn kwa City sasa lfc wachezaji km hawa haina
Msiwazarau Liverpool hata kidogo, uchezaji wao nao hubadirika kila mechi kutokana na aina ya mpinzani wake. Halafu hawa Liverpool huwa wanacheza kwa umoja tofauti na alivyo cheza Arsenal na Man City.

Ukitaka kumfunga Guardiola na hii Man City yake mchezee soka la kasi zilizo kuwa na pasi za haraka kama spurs walichomfanyia pale Etihad.
 
Hakuna anaewazarau lfc lkn wao lfc wanabebwa na wao kucheza nyumbani lkn km city watakua na Sane, Sterling, Silva, De bruyne na Kuna. Then Yaya na Fenandinho wakawepo hapo na wakacheza kwa kiwango kikubwa sioni namna lfc inaweza kuwazuia hao. Hasa mkizingatia Coutinho na Matip wanaweza wasicheze hawako fiti.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom