Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongera mkuu

Invisible Maxence Melo nasi Fc Barcelona tunasubiria utuwekee mtu mwingine kama ulovyomuweka Kunguru mjanja akamatie uzi wa Chelsea

Barcelona muweke Red Giant au BlackPanther

Nina imani huwez onyesha upendeleo

[HASHTAG]#HAKI[/HASHTAG] SAWA
Mi ningependa wewe PNC 1 wakupe hilo jukumu
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Asanteni sana wakuu, kwa kupewa uzi huu. Ila ni wetu sote tushirikiane kuambiana nini kiwepo kuupendezesha uzi huu

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Mkuu ombi langu ni kuwa uwe "active" kutu-inform habari zote za chelsea daily, transfers+game za chelsea+pictures+videos+etc" Thanks in advance nadhani umenielewa.
 
kwa mambo haya hazard anafananishwa na james kwelii!!!!! ".......... unakua ni ukatili wa hali ya juu.
ENZO naona ni fans mkubwa wa hazard, kuhusu hazard hayo maudambwidambwi hapo ndiyo mahala pake na kumfananisha na james ni matusi kabisa ila ndugu yangu huyo james ktk issue ya scoring hasa magoli ya mwezi hapo ndiyo mahali pake
 
nasikia january hii Moses anakwenda kwenye mataifa huru ya Afrika, hivi kuna ukweli wowote, anayejua aweke ukweli wa hilo
 
wadau ligi bado iko tight mno liver bado anatung'ang'ania hataki tuongeze gape la point 6 ngoja tusubiri mechi ya liver na man city hapa ndipo tutajua liver ipo serious au nguvu za soda
Ktk timu ninayo ihofia sn hasa ikiwa kwao ni Spurs.


Nasuburi kwa hamu tarehe 4 nione mambo yatakavokua lkn si kwa LFC
 
364532ec707624f0458673cbbee210cd.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom