Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Unaianalyse vipi hiyo mechi? Najua Costa na Kante watakuwepo, kikosi chako kitakuwaje
Mkuu hao viumbe watakuwepo lkn kitu kile watafanya hawa Stoke ni kuja kupaki bus angalau wapate sare au wafungwe kwa tabu lkn chelsea inawabidi wacheze kwa nguvu sn angalau washinde na kupata alama tatu muhimu na kuzidi kukaa hapo juu kwa tofauti ya alama 6. Maana j5 wiki ijayo tutakua kwao Spurs ambayo ni derby ngumu sn. Kwahiyo hii biashara ya Stoke ni muhimu sn
 
Mechi dhidi ya Stoke City ni ngumu lakin naamini chelsea iko very relaxed na winning mentality ni kubwa sana kwahyo tutashinda kiurahisi tu.

Naamini big matches ndo zitasumbua sana next round.. Spurs, Liverpool, united, Ila Arsenal sioni ukali wao tena na City tutachukua point 3 muhim....!!
 
Hakuna anaewazarau lfc lkn wao lfc wanabebwa na wao kucheza nyumbani lkn km city watakua na Sane, Sterling, Silva, De bruyne na Kuna. Then Yaya na Fenandinho wakawepo hapo na wakacheza kwa kiwango kikubwa sioni namna lfc inaweza kuwazuia hao. Hasa mkizingatia Coutinho na Matip wanaweza wasicheze hawako fiti.
Hao wachezaji uliowataja wa Man City na ukaongezea kuwa watacheza Kwa kiwango kikubwa umejuaje....??
Mbona Kwa Spurs na Chelsea walikuwepo na kipigo kiliwakuta.
Mkuu, mpira ni mbinu na hiyo mbinu ndio inayokufanikisha ktk udhibiti wa matokeo.
 
Game ya City na Spurs city hawakua wazuri mkuu na bado wakati huo walikua bado hawajaimarika lkn tizama Game ya City na Arsenal au chelsea hapo utawaona City wako vzr.
 
Timu nyingi kubwa round ya kwanza zmesuasua sana hata chelsea lakin baada ya kurudi kwenye right track ndo wameonekana wako imara sana. Angalia United saiv, angalia city pia wamekaa kwenye "track" hii itafanya round ya pili kuwa ngumu na kama timu ilifungwa haiwez kufungwa tena lazma ilazimishe draw. Mi naona Kila timu hasa top four ni title conte-nders
 
Uko sahihi mkuu
 
Ni kweli unachosema kaka, lakini ukiangalia aina ya wachezaji waliopo kwenye hizo timu bado unaweza kupredict top three, kwa mtazamo wangu, Chelsea, Liver na United ndio watagombea nafasi tatu za juu,

Arsenal wanashida ya Kocha kukosa mbinu za kimchezo hasa ikifikia kipindi hichi cha round ya pili, yeye huwa habadiriki kwa lolote, mfano anapofanyaga sub ya kumwingiza Giroud huwa hamuandalii mazingira ya kuweza kufunga kwa maana ya kubadirisha aina ya mpira anaocheza na kwenda kwenye mpira wa cross ili jamaa apige vichwa, jamaa ni mzuri wa vichwa lakini huwa anafunga kwa bahati na sio kwa malengo

City bado wanashida ya Kocha kuwa mgeni wa league na pia wanashida ya kina toure na Fenarndinho, hao jamaa wana uzito fulani ambao wakipata timu zenye kukimbiza na middle wepesi watapata shida, cha pili cocha bado anaangaika na kupata timu ya kudumu 1st 11, mechi ya mwisho waliyocheza na Hull city, dakika ya 30 tu ya kipindi cha kwanza alishamwita Fenandinho kwenye benchi, Fenandinho alibakia ndani kwa sababu kuna mtu aliumia hivyo ilibidi atoke na Fena akacheza mpaka mwisho, so kocha anaweweseka

Man united kwa sasa wanacheza mind game, Mou anaanza kutumia uwezo wa wachezaji na uwezo wake binafsi, hivyo kwa huo utundu na ubunifu wa Mou timu itafika top 3

Liver wapo fit, pamoja na mapungufu ya hapa na pale ila watafika top 3
 
Usimsahau Tottenham mkuu..huyu ni kiboko wa timu ndogo ndogo zote yeye anapiga. Spurs yuko radhi afungwe na timu kubwa lakin ndogo anawasha moto . Mi top three yangu ni Chelsea, Man U Arsenal ...Liver sina iman nae sana maana ni kama maji moto tu lazma yarudie ubaridi
 
Kwa mechi yetu ya kesho nadhani sasa kocha na hata sisi wapenzi na mashabiki wa Chelsea tunapata shida ya kupanga kikosi sahihi cha mauhaji
Kurudi kwa Kante na Costa, Uwezo mkubwa aliouonesha Pedro na form waliyonayo Fabregas naWilliam ni shida tupu, all in all mechi itakuwa ngumu kwa maana ya Stock City watapack basi na watakuwa na mashambulizi ya kustukiza

Kwa mtazamo wangu, kwa mechi kama hizi Fabregas angeanza kucheza kwani yeye ana pasi zenye macho hivyo tutahitaji sana mipira ya kupenyezeana, pia Pedro nae angeanza kwa sababu ana accuracy nzuri ya banana chops hata akiwa nje ya 18 hivyo tunaweza pata magoli ya mbali

Kwa sababu Stock watapaki bus, hivyo mechi hiyo haitakuwa defensive game kwa Chelsea itakuwa offensive kwa muda mrefu hivyo Matic hahitajiki kwenye hiyo mechi, so nafasi yake ndio ichukuliwe na Fabregas

Kwa mtazamo wangu, Chelsea iwe kama ifuatavyo nyuma kama kawa Cot, Luis, Azip, Cahil, kati kuwe na Fabregas, Kante Alonso na Moise, foward awe Hazard, Pedro na Costa

Tukishashinda Matic, William, pamoja na Batsh wataingia kama Sub

Kila nikizipima timu zote Chelsea ana nafasi kubwa sana ya kushinda 10:0.00001
 
Pedro hatoweza mkuu,
Pedro sio yule wa Mourinho..huyu ni New Pedro mwenye pace kubwa sana na anausongo na magoli..angalia magoli yake anapofungia siku hizi.. Speed yake na Quick Pace..mi naona anafaaa sna kwa mechi ya kesho ambayo ni "defensive game kwa stoke city ambao wanaanza kwa kasi kutafuta goli then badae wanarudi kupaki bus lao...
Pedro is good with Counter attacks and Curve Goals..
 
Huo ndio ukweli kaka
 
Pedro is suspended due to booking 5th yellow cards.
 
MATCH STATS - Chelsea Vs Stoke City

Chelsea did not win either match v Stoke City last season (D1 L1), the first time they had failed to beat them either home or away in a league campaign since 1974/75.

The Potters are winless in 11 league visits to Chelsea, last winning there 1-0 in April 1974.

Chelsea have not lost their final league match of a calendar year since 2011, while Stoke City have ended the last two calendar years with a league victory.

Marcos Alonso has ended on the winning side in each of his last 16 PL starts (four for Sunderland, 12 for Chelsea); only Arjen Robben has gone on a longer run in PL history (20 matches in a row between December 2004 and January 2006).

Capture.PNG
 
Pedro sio yule wa Mourinho..huyu ni New Pedro mwenye pace kubwa sana na anausongo na magoli..angalia magoli yake anapofungia siku hizi.. Speed yake na Quick Pace..mi naona anafaaa sna kwa mechi ya kesho ambayo ni "defensive game kwa stoke city ambao wanaanza kwa kasi kutafuta goli then badae wanarudi kupaki bus lao...
Pedro is good with Counter attacks and Curve Goals..
Nilitaka kumaanisha kwamba kwa game ya kesho hatoweza kucheza sababu ametimiza kadi Tano za njano
 
ukosefu wa pedro kesho maana yake ni kwamba ushindi utachelewa kwa nini willian siyo mzuri ktk ufungaji kama ataanza kumreplace pedro
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom