DATABASEE
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 588
- 586
Kiongozi unaota hata ukiwa unatembea!!Muda ndo utaongea... gap la point 6 tutalipunguzia kwenu...
Ndoto huwa ni usingizn ndugu.
Kiongozi unaota hata ukiwa unatembea!!Muda ndo utaongea... gap la point 6 tutalipunguzia kwenu...
usiitoe liver mkuu nawaogopa sana wale jamaa mwaka huu wako kwenye formKtk timu ninayo ihofia sn hasa ikiwa kwao ni Spurs.
Nasuburi kwa hamu tarehe 4 nione mambo yatakavokua lkn si kwa LFC
Mkuu wale hawana lolote. Wale ni timu inayokania timu kubwa tu lkn wakikutana na timu ndogo inacheza hovyo. Hiyo sio Sawa lazima timu icheze Ktk kiwango kile kile ata km inacheza na timu kubwa au ndogo. Alafu walituotea tu pale awali lkn tukienda kwao watajuta.usiitoe liver mkuu nawaogopa sana wale jamaa mwaka huu wako kwenye form
Ni ngumu kidogo kuitoa Liverpool kwa sasa wako vizuri ila hao Spurs hata kama kocha wao anasema anasubiri mwezi wa 4 hiyo ni mikwara butuusiitoe liver mkuu nawaogopa sana wale jamaa mwaka huu wako kwenye form
spurs huwa wanamkamia chelsea tu na wala spurs hata big 4 sidhani kama wataingia ila liver ndugu yangu kwa hizi timu kubwa huwa anakamia sana usishangae akatusumbua inatakiwa tuwe na taadhari sanaNi ngumu kidogo kuitoa Liverpool kwa sasa wako vizuri ila hao Spurs hata kama kocha wao anasema anasubiri mwezi wa 4 hiyo ni mikwara butu
Lakini ukweli Chelsea tuko vizuri mno
mkuu Ntuzu hawa liver hata kwa timu ndogo wameimprove sana yaani si timu ya kuiondoa ktk ubingwaMkuu wale hawana lolote. Wale ni timu inayokania timu kubwa tu lkn wakikutana na timu ndogo inacheza hovyo. Hiyo sio Sawa lazima timu icheze Ktk kiwango kile kile ata km inacheza na timu kubwa au ndogo. Alafu walituotea tu pale awali lkn tukienda kwao watajuta.
dogo ikiingia kwenye miji ya watu uwe unasalimia kwa adabu kabla hujaeleza shida yako usaidiwe!We admin unanikera na ban unazonipa humu nikisemaga pigaaa mbwaa
Ila
Njoo kwenye thread ya Barca mpe mwingine amiliki uzi nasi tunahitaji masahihisho
Epuka kunitafutia ban haswa msimu huu wa sikukuudogo ikiingia kwenye miji ya watu uwe unasalimia kwa adabu kabla hujaeleza shida yako usaidiwe!

tehetehetehe kuwa na adabu kwa wakubwa!Epuka kunitafutia ban haswa msimu huu wa sikukuu
Asante![]()
uzi utaajaa picha za messi kuanzia asubuhi mpaka usiku!
kwa ufupi itakuwa sio uzi wa barcelona bali uzi wa promo kwa messi.

Sawa mkubwatehetehetehe kuwa na adabu kwa wakubwa!
uzi utaajaa picha za messi kuanzia asubuhi mpaka usiku!
kwa ufupi itakuwa sio uzi wa barcelona bali uzi wa promo kwa messi.
kwani ni sababu ipi inayokufanya umchukie Kingsimchukii ila wewe una mahabati yaliyopitiliza kwa messi,![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kwani ni sababu ipi inayokufanya umchukie King
Mimi huwa naongea ukweli mtupu na sina mahaba kwa mchezaji yeyote Kama King akifanya vizur namsifia na akiboronga nampondasimchukii ila wewe una mahabati yaliyopitiliza kwa messi,
hata akinya uwanjani utamsifu tu!
Mkuu iga mfano wa "salamander-kwenye uzi wa real madrid" jamaa yupo updated sana.Asanteni sana wakuu, kwa kupewa uzi huu. Ila ni wetu sote tushirikiane kuambiana nini kiwepo kuupendezesha uzi huu
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
usiitoe liver mkuu nawaogopa sana wale jamaa mwaka huu wako kwenye form
spurs huwa wanamkamia chelsea tu na wala spurs hata big 4 sidhani kama wataingia ila liver ndugu yangu kwa hizi timu kubwa huwa anakamia sana usishangae akatusumbua inatakiwa tuwe na taadhari sana
wadau ligi bado iko tight mno liver bado anatung'ang'ania hataki tuongeze gape la point 6 ngoja tusubiri mechi ya liver na man city hapa ndipo tutajua liver ipo serious au nguvu za soda