Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tarehe 4 tuko Ktk machinjio ya Spurs. Tukitoka hapo tutakwenda kwao Leicester alafu tarehe 31 tutakua kwao LFC na tarehe 4 feb gunners watakuja kwetu. Hizi timu kubwa tukizifunga basi Ktk hii hii january tunajihakikishia ubingwa
Ni kweli yani January ikiisha na gumewafunga wote hao basi ubingwa ni wetu...wapende wasipende...January!

Nashukuru nitakuwa nimetoka huku porini maana streaming mara nyingi huwa inagoma kama leo nimeambulia goli la tatu tu, huko kwingine ilikuwa ina stuck vibaya!!

Cant wait for the new year...
 
Pole sn mkuu kwa kua huko polini....

Unajua mkuu chelsea inafanya vzr kwasababu haina presha. Huu utofauti wa points unawafanya wachezaji wacheze huku wakiwa wamerelax akili zao tofauti km tungekua tunaongoza kwa tofauti ya point moja tu yani mnakua mnacheza huku mnamawazo. Ata mkiwa mnachelewa kupata Goli mnazidi kuchanganyikiwa. Lkn kwa hii tofauti yani timu inaingia uwanjani wachezaji wakiwa na nyuso za furaha na bashasha.

January mpo feb tunajihakikishia ubingwa
 
a0f52c456144ae8ec491d0023c5a0f3b.jpg
 
Owen na Ferguson walikua wakiongea kishabiki sn na si kwa uhalisia.

Sasaivi wamejionea wenyewe. Conte ana msemo wake anaupenda kuwambia wachezaji wake kwamba waache miguu iongee.

Tukikaza January tu ubinhwa ni wetu, Arsenal hawana shida sana, kwani wakishafika kipindi hiki wanajiweka kwenye nafasi yao waliyoizoea, na mechi ya Liver na Man city nayo itawapunguzia point mmojawapo

Hapo timu za kuziofia ni Man United na Liverpool, angalau hizo zinaweza kuleta changamoto kidogo hapo baadae
 
Yap mkuu yani mpk february tarehe 10 ubingwa tutakua tumeshajihakikishia
 
Kaka Chelsea wanacheza mfumo wa 3-4-3, huo mchezo unabadirika kulingana na mazingira, kama tunashambuliwa kwa shabulizi la kawaida na la mpito, basi mfumo unakuwa 4-3-3, beki zinakuwa nne, Alonso Kushoto, kati Luis na Cahil na kulia ni Azip, na katikati kunakuwa na Matic, Kante na Victor moses na mbele kunakuwa na Willian, Hazard na Costa

Tukiwa tunashambuliwa kwa muda mrefu na timu inazidiwa basi mfumo unabadirika na kiwa 5-4-1, nyuma kunakuwa na beki tano, Luis, Azip, Cahil, Alonso na Victor moses, katikati tunakuwa na Matic, Hazard, Kante na Willian na mbele anabaki Costa kusubiri counter attack.

Tukiwa tunashambulia kwa kujihami, yaani mechi iko 50:50, mfumo unakuwa 3-4-3, na tukiwa tunatawala mechi basi mfumo unageuka na kuwa 2-3-5 yaani hapo lazima ufungwe, nyumba anabaki Azip na Cahil, kati anasogea Luis, Matic na Konte mbele kunakuwa na Victor, William, Hazard, Costa na Alonso

Huo ni mfumo mzuri sana, sema unahitaji wachezaji wepesi, inahitaji wachezaji wenye uwezo wa kuhold Mipira na wachezaji wenye skill zakufunga
ufafanuz mzuri
 
mimi ninavyojua anaposhambulia beki wanabaki watatu ambao ni luis,azplicueta, na cahill hilo lakubaki mmoja ndiyo nalisikia kwako,
ndugu idawa vipi tuko pamoja kwenye jukwaa hili au umekuja kutusalimia maana mara nyingi ninakucheki kwenye jukwaa la bwana yule
Mkuu tuko pamoja na kibongo bongo nipo na wakimataifa zaidi.!
 
jana raund ya kwanza imeisha metch ya man city na liverpool matokeo yalikuwaje mana sikumbuki kabisa
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Tutamkosa Pedro kwenye gemu ya stock ni ombi langu kila mwenyekadi nne hazikamilishe kabla ya fixture ngumu
Mkuu mwaka mpya kadi zote zinaanza upya so mechi ya stroke city ni kujichunga tuu kadi zote zifutwe
Tutamkosa Pedro kwenye gemu ya stock ni ombi langu kila mwenyekadi nne hazikamilishe kabla ya fixture ngumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom