Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,940
January kuna game ngumu sana Tottenham,Hull ,Liverpool,Arsenal
One game at a time brother...tuombe uzima wa wachezaji manna come January wale wote wenye kadi 4 za njano zinaongezeka kuwa 10. So full squad itakuwepo...tuombe uzima tu mkuu!
Huwa hakuna mkate mgumu mbele ya chai...na siku zote shimo la panya halizibwi kwa mkate...WALETE!!!!