Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

845cb0ccb056c13282a326f1c0d63098.jpg

Salute to Diego Costa
 
Hesabu za Conte naona zinaitafuta Xmass kwanza.... Hesabu za Diego Costa naona zinaitafuta golden boot kwanza..... Goli moja ni kushinda kama bingwa.

Huu unaweza kuwa muda wa biasha kwa Conte na Costa ........ Tuendelee kuusubiri muda wa mahesabu....

Crystal Palace wanavutia sana jinsi wanavyocheza they reminder me Newcastle united ya Allan.

Crystal Palace 0-1 Chelsea.
 
Wakuu hongereni sn kwa ushindi Wa Leo.

Wakuu nimepitia comments zenu kabla ya game nimebaki nafurahi tu....

Msiwe Na hofu hivyo jamani Conte anaelewa nini cha kufanya kwa timu yote kwa ujumla Na kwenda sambamba Na ratiba ngumu Na majira haya ya baridi yanayoanza.

Swala kubwa kwa conte ni kwamba anatafuta goli Na akilipata Basi anatunza goli Na kuanza kurelax Na kujaribu mbinu zake.

Mnaweza mkajikumbusha move kadhaa ambazo Hazard alikua akijaribu kuzifanya kutoka nje ya box LA adui anatoa pasi Na kuanza kukimbia ndani ya box Na apewa tena Na anatoa pasi tena huku akizidi kuingia ndani. Lkn wachezaji wa palace walikua wakimchezea rafu Hazard. Ata move ya goli LA Costa mpira ulianzia kwa Hazard akatiririka nao mpk kwa Azpilicueta ndio akatoa pass ya mwisho ya goli
 
nitaanza kumwelewa conte atakapoanza kumpanga fabripass 90min.

[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
Mkuu fabregas hawezi kukaba kama Matic, fab ni mzuri kwenye pass za mwisho tu, so utapiga pass za mwisho huku umefungwa???? Ndo maana "taylor-conte" anamuamini Matic over fabregas.
 
Tumepiga 6 shots on target leo tukapata goli moja tu, mechi ya man city tulipiga only 4 shots on target tukafunga goli 3,,
Just Mind the Gap kabla hujaongea sana
 
*```CHELSEA```*... its only one season without
the league title

*```MAN CITY```*.....its only two seasons
without the league title

*```MAN UTD```*......its only three seasons
without the league title

*```ARSENAL```*............ no information available try again later!!!!!

*```LIVERPOOL```*......search not found "did you mean swimming pool"

 
Tumepiga 6 shots on target leo tukapata goli moja tu, mechi ya man city tulipiga only 4 shots on target tukafunga goli 3,,
Just Mind the Gap kabla hujaongea sana
Ila ile ya Alonso ni Nouma! Ilikua ndani!

Kante Na Faby walimlenga kipa lkn wamefanya vzr
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom