Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii wiki Chelsea tumedominate Manchester (the town) kama vile ndiyo home ground aisee...

manchester United 1 - 3 Chelsea (PL 2 - development squad)

1481319078034.jpg

Trevor Chalobah

1481319055539.jpg

Sterling makes it 1 - 1

1481317889245.jpg

Ugbo...
Good. Congrats to them
 
Tulitembelewa na the Legend..PIRLO

3B36F9F300000578-4017504-image-a-68_1481296319383.jpg

with fellow Legend...Terry!

3B36C82600000578-0-image-a-42_1481293618790.jpg

..with Fabregas the pass masters!

3B36C82600000578-0-image-a-42_1481293618790.jpg

..Asmir Begovic...

3B371EC400000578-4017504-image-a-116_1481301614761.jpg

..akiwa na mwanaye! (wa mwisho kulia kwake)

3B371E1E00000578-4017504-image-a-117_1481301681760.jpg

Amesema imembidi atembelee Cobham baada ya kusikia sifa nyingi za Chelsea from Lampard!
Najua atakuwa amewapa na motisha wachezaji pia. Safi sana Pirlo
 
This shows how wee the club is! Yaani mna foreign players watano tu ambao wana goli 50+ kwenye ligi? And you still talking about 50+ goals when others are talking about 100+ goals as the benchmark!

[HASHTAG]#justhating[/HASHTAG]

Naamini he was being satirical. Rent Boys wana sifa zipi hizo? Hata trophy room yao ipo dull! Training facilities, not the best in UK! Sasa sijui sifa zipi ambazo Lampard alimwambia!

Acha kuweweseka mtoto wa kiume.
 
This shows how wee the club is! Yaani mna foreign players watano tu ambao wana goli 50+ kwenye ligi? And you still talking about 50+ goals when others are talking about 100+ goals as the benchmark!

[HASHTAG]#justhating[/HASHTAG]
Tupe mifano hai sio mamneno tuonyeshe wachezaji hao
 
team gan England kwenye hii decade ipo kwenye mainstream kama chelsea? unaweza ifananisha na Chelsea kwa mafanikio...?? unadhan kuwa na 16...trophies in decade ni kitu cha kisport sport! (100+ goals is nothin...if it can't spearhead triumph, nadhan huyu kaota mapembe...tumuongee na mkia ama vepii!!??
 
Hii decade So you mean between 2010 and 2016, Rent Boys have won 16 trophies, right?!?
 
Tupe mifano hai sio mamneno tuonyeshe wachezaji hao
1. Cristiano (118 goals)
2. Ole Gunnar (126 goals)
3. Ruud van Goals (150 goals)
4. Lou Macari (97 goals)
5. Cantona (82 goals)
6. Yorke (66 goals)
7. Hernandez (59 goals)
8. Van Persie (58 goals)
9. Berbatov (56 goals)
 
Kuna taarifa za kusikitisha kwa fans wote wa chelsea kwamba kutokana na fujo za wachezaji wa chelsea kuanzia ile mechi ya toten last season na ya sasa ya man city kunauwezekano mkubwa chelsea kunyanganywa points. Sijaelewa FA wana maana gani? kunyanganya points badala ya kudeal na muanzishaji fujo
 
Mkuu unaweza nipa chanzo cha hiyo taarifa nikajirizisha?

Yani vurugu gani hizi zipelekee Chelsea upokwe points?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom