Nafikiri mfumo nao unachangiaTE="Student Teacher, post: 18920091, member: 249242"]Bravo Chelsea.
Timu bado ina miss wafungaji wa magoli ya mbali kama Lampard, tangu tucheze na Man city sasa hivu timu zimegundua zinakaba sana kwenye eneo lao, yani unakuta Chelsea ina attack halaf unakuta wachezaji kama 8 hivi wakizuia nashambuluzi na ndio maana kwa sasa magoli ya Chelsea yanafungwa kwa counter attack..
Tungepata wapigaji wa shoots kama alivyokuwa Lampard, Ballack au Essien tungekua na uhakika wa ushindi wa goli nyingi zaidi