Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

3353.jpg

Before celebrating with boss Antonio Conte
 
wadau mlioiona mechi kwa ukaribu tunaomba uchambuzi wenu
[HASHTAG]#free[/HASHTAG] max melo
1.fabrigace anazidi kutegemewa kila siku kadri msimu unavyoendelea na hakika kila anapoingia anafanya kazi murua leo ameingia akatuliza timu yetu maana tulikuwa tunahangaika pia ameanzisha movement nyingi za kutengeneza magoli

2.leo chelsea ilicheza kwa spirit maana goli limepatikana mazingira magumu na kwa uwezo binafsi wa wachezaji

3.chelsea imefanyia kazi swala la cross maana leo zimepigwa za kutosha na nyingi zilikuwa ni hatari asanthe tumepata goli la kwanza la kichwa la msimu

4.chelsea ni wagumu kufungika hata ucheze kwa stle gani maana leo dakika ya 48-58 c/palace walicheza na kushambulia kwa nguvu na kupiga cross za kutosha lakini hawakupata kitu zaidi ya kona kadhaa

Kante sio wa mchezo mchezo, jamaa hachoki dakika zote nampa pole mke wake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom