Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpaka sasa wanaotufuatia tumewaacha kwa point 9, nina imani ubingwa ni wa Chelsea msimu huu. Leo Arsenal na ManCity wanauana wenyewe na kesho Liverpool anakufa mbele ya Everton. Man United amekuwa joka la kibisa, hana sumu.

Nikiwa kama shabiki wa Chelsea, mechi niliyoiogopa ilikuwa ni tulipocheza na City na Tottenham, lakini tulipowakalisha hao, basi nikajua sasa hakuna wa kutuzuia.
Hongereni ila kumbuka ajidhaniaye amesimama.........
 
Kaka mpira huwa unabadirika na aina ya kocha, Mourinho alikuwa na aina yake ya wachezaji na aina ya uchezaji ambao uko tofauti sana na Chelsea ya Conte,

Conte kaibadirisha sana Chelsea na Chelsea kwa sasa ni timu ya kufunga goli zaidi ya moja, Man alichapwa nne, Evaton akala za kutosha, Shida kubwa ya sasa kwa Chelsea ni kukamiwa na kubanwa sana, timu yoyote inayocheza na Chelsea hata kama ikiwa nyumbani cha kwanza wanachokifanya ni kupanga beki za kuwazuia wacheazji wa Chelsea wasifunge, pili wanajitahidi sana kuweka watu wengi kati ili kuivunja Chelsea nguvu, so kila timu inatafuta sare kwa Chelsea wala sio ushindi

Ubora wa Chelsea upo kama timu na pia ubora wa mchezaji mmojammoja na hicho ndio kinaifanya Chelsea kupata hivyo vigoli kimoja kimoja, otherwise timu nyingine sema Man U, Gunners wasingeweza kufunga hata goli moja

Siku Chelsea ikicheza na timu inayofunguka, basi hapo utaenjoy wingi wa magoli
Sahihi mkuu. Yani timu zinatukania sn zikija zinacheza jihadi kweli kweli. Lkn uzuri Wa Conte timu Yake ikiwa uwanjani hatulii chini anaendelea kuwafundisha Na kuwahamasisha....
 
Conte anamuhitaji kama mbadala wa oscar kipindi cha dirisha dogo ...
Je James Rodrigaz atakuwa amekuja wakati sahihi darajani?
fe925350ef97880b07ea3446a058b15a.jpg
Mm naona ni sahihi kabisa maana tuna uhaba wa magoli ya mguu wa kushoto, cross za ndani ya box na creativity kwenye box la adui so jamaa nina uhakika atasaidia sana Maana kasi pia anayo
 
Conte anamuhitaji kama mbadala wa oscar kipindi cha dirisha dogo ...
Je James Rodrigaz atakuwa amekuja wakati sahihi darajani?
fe925350ef97880b07ea3446a058b15a.jpg
Namkubali sana huyo mchezaji, conte anajua sana kupoint/pick players, akija huyo na marco verrati, tutakuwa tushafunga vitabu vya mahesabu(year of income).
 
nimegundua wabrazil hawaogopi maisha tofauti na mataifa mengine wao popote anaweka kambi najaribu kuwaza,ramires,oscar,makocha walipenda wabaki lakini wao walicho amua ni kutafuta maisha mengine,conte amebembeleza sana oscar kubaki lakini amegoma.
 
Hofu yangu sio kutokuwepo ngolo kante katika match na bournamouth bali mtu atakaechukua nafasi ya costa
Batshuay haaminiki kabisa kwa sababu ya kukalia sana bench
Sijui conte atambadilisha vipi mich maana mwenyewe hana furaha sababu ya kuwekwa sana bench
Kwa ngolo sina shaka fabrigas ataziba vizuri na matic lakini hofu yangu ni mtu anamrithi diego costa
Lakini ngoja tutaona atafanya nini conte na mich batshuay
 
sikupenda man city ashinde kabisa bora arsenal akukalibie kuliko man city
 
sikupenda man city ashinde kabisa bora arsenal akukalibie kuliko man city
Bora Arsenal alivyofungwa kwasababu angeshinda ingekua shida Kwa gape ya points 6 ni mbaya sn.

Then City anakutana Na LFC tarehe 27 so lazima apunguzwe au LFC apunguzwe. So mpk tarehe 1 Jan tutajua pengo lao vzr.

Kumbuka pia kesho LFC yuko away Kwa Everton ni game ngumu kwao LFC.

So tulieni tuone mambo yatakavokua
Sio mbaya sana kwa yeye kushinda, maana angeshinda Arsenal gap lingekuwa point 6..lakin man city kashinda gap ni point 7! Ila ndoo ndo ingekuwa na faida zaidi
 
Hofu yangu sio kutokuwepo ngolo kante katika match na bournamouth bali mtu atakaechukua nafasi ya costa
Batshuay haaminiki kabisa kwa sababu ya kukalia sana bench
Sijui conte atambadilisha vipi mich maana mwenyewe hana furaha sababu ya kuwekwa sana bench
Kwa ngolo sina shaka fabrigas ataziba vizuri na matic lakini hofu yangu ni mtu anamrithi diego costa
Lakini ngoja tutaona atafanya nini conte na mich batshuay
Hofu lazima iwepo kwa kukosa mbadala wa Costa... na hapo lazima kwa Chelsea ya Conte tujifunze kusiwe na tabia ya kuacha mchezaji bila mpango.. leo kama tungekuwa na Kevin de Bruyne, Romelu Lukaku,ambao walikuwa wachezaji wetu, kusingekuwa na kuwaza sijui itakuwaje!?

Silaumu sana ila tumeona namna David Luis alivyogharimu gharama ambapo alikuwa wetu na hali ilivyo ni endapo kutakuwa na majeruhi kazi ni kubwa baadhi ya namba

Mkuu Ntuzu... unaweza kufafanua zaidi, naishia hapo

Hofu yangu sio kutokuwepo ngolo kante katika match na bournamouth bali mtu atakaechukua nafasi ya costa
Batshuay haaminiki kabisa kwa sababu ya kukalia sana bench
Sijui conte atambadilisha vipi mich maana mwenyewe hana furaha sababu ya kuwekwa sana bench
Kwa ngolo sina shaka fabrigas ataziba vizuri na matic lakini hofu yangu ni mtu anamrithi diego costa
Lakini ngoja tutaona atafanya nini conte na mich batshuay
 
Hofu yangu sio kutokuwepo ngolo kante katika match na bournamouth bali mtu atakaechukua nafasi ya costa
Batshuay haaminiki kabisa kwa sababu ya kukalia sana bench
Sijui conte atambadilisha vipi mich maana mwenyewe hana furaha sababu ya kuwekwa sana bench
Kwa ngolo sina shaka fabrigas ataziba vizuri na matic lakini hofu yangu ni mtu anamrithi diego costa
Lakini ngoja tutaona atafanya nini conte na mich batshuay
Wiki moja inatosha sana kumjengea confidence Batshuay na ku-perform vizuri! Uzuri mwingine ni kwamba mechi ambazo Diego hakufunga walifunga wengine.
 
Nimesikia ktk vyombo mbalimbali kuwa chelsea inamuwinda james rodrigues ambaye hana furaha pale madrid,kama chelsea tukimpata huyu bwana sina shaka ataisaidia sana chelsea ni miongoni mwa wachezaji wazuri lakini timu aliyopo haijatambua kipaji chake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom