Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #34,921
[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
So far sijaona mahali ambapo refa amewabeba. Au unamaanisha ile mechi ya I think last season or so ambapo refa aliwabeba Chelsea kwa kuwapa penalti dakika za mwisho?
Nilidhani kama tumeanza kuvimba kichwa.. kumbe kwa sasa timu hizi ni kujilinda tu ili wasifungweYes. Jamaa at some point walikuwa wanacheza na ''back 7''. Sasa utapita wapi ukafunge?
Mtaendelea ku-speculate hadi mechi za 1978.
Ngoja nihamie kwa majirani man useless nao niwaombee njaa!!!
kazi yetu tumeimaliza...on to Wednesday! Willian for Pedro. Matic abaki amefanya kazi yake vizuri.
Mkuu tukutane huko, huku ni game after game. Jumatano tena
Jumanne kwa uchambuzi kidogo...
Ni vizuri kucheza nao kwa akili sana.Jamani timu ndogo hizi ni kero aisee duuuuh sio kwa kukaba huko