Ghazwat
JF-Expert Member
- Oct 4, 2015
- 23,718
- 66,276
Kilichowafanya kuwa chini ni vichapo tu kwahivyo ni wakati wetu nasi kuendeleza kichapo.Ila tutegemee mchezo kua mgumu sn kwasababu hawa Sunderland ndio wanaburuza mkia sasa wako Na hali mbaya sn na wao ili waokoke huko chini lazima waanze kupambana kufa Na kupona Na uzuri Conte Na benchi LA ufundi wanaijua hii hali vzr sn......
Kila mechi ni fainal....!