Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
back up ya alonso ni azplicueta hapo tery inabidi aingie kama partner wa luis,na cahilWho is chelsea wing back up for alonso and victor moses????? Back up ya alonso naona mtihani.
Mimi jana nilikuwa naombea chelsea tupate draw tu maana hizi game zetu zimekosa mvuto kiukweli kila game tunajua tunachukua point 3,nipo nchi za mbali huku sasa nina marafiki fulani wazungu siku hizi hawaangalii mechi kabisa kwa madai chelsea ushindi kwao ni kama kupumua tu kabla ya mauti,kiukweli tumebaki kutazama mashabiki wa Chelsea watupu,now kuanzia game ya man city huwa tunagawana mashabiki wengine chelsea wengine wanaenda shabikia timu pinzani ili pawe na angalau tafrani,lakini kibaya zaidi chelsea wakishinda huwa tunajisahau tunashangilia woteIla kuna kitu cha kujifunza ktk huu mchezo Wa Leo maana WBA waliweza kuwapoteza Chelsea ktk kupiga mashuti golini kwao. Na Chelsea walishindwa na kubaki kudrible mipira nje ya box tu huku muda ukiwa unaenda.
Sasa ni wakati Wa Conte kutafuta mbinu mbadala kwa timu zikija kwa njia km hii maana WBA Leo shida yao ilikua ni sare tu km ulivyo sema na ndio hicho walikua wanakitafuta na kujishindilia nyuma na kutibua kila movement za Chelsea.
So far ni matokeo mazuri lkn kuna mengi ya kufanyia kz.
Kula yule dogo anaitwa Ola Aina. Huyu ni right back mzuri sn na kila sub lazima apangwe. Kwahiyo km inatokea Alonso yuko off Basi wana switch tu hapo yani Azpilicueta Na Aina.back up ya alonso ni azplicueta hapo tery inabidi aingie kama partner wa luis,na cahil
ingawa kwa mtazamo wangu huku nyuma sina tatizo sana,tatizo langu linaanzia kwa viungo washambuliaji mara nyingi tukikutana na timu yenye beki nzuri au iliyopaki bus,viungo wetu wanashindwa kuvunja ukuta huo. Zaidi tunamtegemea fabregas na kibaya zaidi kama fabregas ataruhusiwa kuondoka January shida ndiyo itakapoanzia refer mechi ya jana assist imetoka kwa fabKula yule dogo anaitwa Ola Aina. Huyu ni right back mzuri sn na kila sub lazima apangwe. Kwahiyo km inatokea Alonso yuko off Basi wana switch tu hapo yani Azpilicueta Na Aina.
Defective first eleven.
mkuu unaombea tutoke droo are u serious watu huku matumbo yalikuwa yanaunguruma tu muda wa dk 76 baada ya goli la diego ndipo tukapumua wewe unaongelea kutoa droo. Ligi hii ipo tight sana ukidroo mara mbili tayari umepitwa point kadhaa refer liverfool ndiyo timu ilikuwa inatupa pressure,hadi hazzard akadiliki kusema ndiyo timu anayodhani title contender material lakini baada ya kutoka sare jana na kufungwa mechi moja tuizidi point 6.Jiulize tungefungwa ile mechi ya man city na kutoka sare jana unadhani tungekuwa nafasi ya ngapi mkuu?Mimi jana nilikuwa naombea chelsea tupate draw tu maana hizi game zetu zimekosa mvuto kiukweli kila game tunajua tunachukua point 3,nipo nchi za mbali huku sasa nina marafiki fulani wazungu siku hizi hawaangalii mechi kabisa kwa madai chelsea ushindi kwao ni kama kupumua tu kabla ya mauti,kiukweli tumebaki kutazama mashabiki wa Chelsea watupu,now kuanzia game ya man city huwa tunagawana mashabiki wengine chelsea wengine wanaenda shabikia timu pinzani ili pawe na angalau tafrani,lakini kibaya zaidi chelsea wakishinda huwa tunajisahau tunashangilia wote
Ktk viungo tuko vzr sn.... Jana kulikua Na matatizo kidogo km unakumbuka WBA waliweka marking ya hali ya juu kwa watu km Hazard Na Pedro kuhakikisha hawachezi kabisa Na km unakumbuka alivyongia Willian badala ya Pedro ndio kidogo kukawa Na uhai.ingawa kwa mtazamo wangu huku nyuma sina tatizo sana,tatizo langu linaanzia kwa viungo washambuliaji mara nyingi tukikutana na timu yenye beki nzuri au iliyopaki bus,viungo wetu wanashindwa kuvunja ukuta huo. Zaidi tunamtegemea fabregas na kibaya zaidi kama fabregas ataruhusiwa kuondoka January shida ndiyo itakapoanzia refer mechi ya jana assist imetoka kwa fab
Chelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?Malafyale...nani hayaogopi majogoo!??
One man team...subirini January na Mane aondoke...mtalia machozi ya damu maana hata man useless watawapita tu!
Chelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Mind the Gap mzee wa MajogooChelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Chelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Malafyale. Kumbe wewe unaongea kitu usichokijua. Meanwhile ndiyo kazi ya stricker yaani kufunga taouti na ninyi manavyo mtegemea cotinho na mane. Pia ujue chelsea inacheza kama timu. Wanadefend vizuri wanashambulia na kufunga pia. Kwa uthibitisho zaidi tumeshinda mechi 9 on row, tumefuga magoli 23 tumefungwa magoli 2 kati ya izo mechi 9. Can u imagine. Na wew umeshinda ngapi na umefunga magoli mangapi na umefungwa magoli mangapi. Toa data acha bla blaChelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Chelsea sio One Man Team wakati almost 70% ya points zenu zimeletwa na Costa?
Yy akiumia kuna team pale?
Mane akiondoka Coutihno atakuwa karudi sababu ana anza leo mazoezi mepesi na Dec 30 na Man City anacheza!
Toa mtu ingiza mtu!
Daaaa nimecheka sana mkuu.Mimi jana nilikuwa naombea chelsea tupate draw tu maana hizi game zetu zimekosa mvuto kiukweli kila game tunajua tunachukua point 3,nipo nchi za mbali huku sasa nina marafiki fulani wazungu siku hizi hawaangalii mechi kabisa kwa madai chelsea ushindi kwao ni kama kupumua tu kabla ya mauti,kiukweli tumebaki kutazama mashabiki wa Chelsea watupu,now kuanzia game ya man city huwa tunagawana mashabiki wengine chelsea wengine wanaenda shabikia timu pinzani ili pawe na angalau tafrani,lakini kibaya zaidi chelsea wakishinda huwa tunajisahau tunashangilia wote
Nilipitia bbc swahili, wanadai Chelsea imehusika mara nyingi na vurugu kwa maana imeshindwa kuwacontrol wachezaji wake, lkn FA hawakuwapa onyo la mwisho hyo ndio pona pona ya Chelsea kunyang'anywa points.Hakuna kitu cha namna hiyo,labda hiyo sheria iwe ni mpya na inaanza kutumika kwa Chelsea! Nijuavyo mimi kesi kama hizo ni team hupigwa "faini" tu au team kucheza bila supporter wake kuwepo uwanjani.
Kama uliangalia ule mchezo vizuri kipindi cha kwanza alianza na 3-4-3 lakini kipindi cha pili alirudi kwenye mfumo wake wa kwanza kabla hawajaubadilishaIla kuna kitu cha kujifunza ktk huu mchezo Wa Leo maana WBA waliweza kuwapoteza Chelsea ktk kupiga mashuti golini kwao. Na Chelsea walishindwa na kubaki kudrible mipira nje ya box tu huku muda ukiwa unaenda.
Sasa ni wakati Wa Conte kutafuta mbinu mbadala kwa timu zikija kwa njia km hii maana WBA Leo shida yao ilikua ni sare tu km ulivyo sema na ndio hicho walikua wanakitafuta na kujishindilia nyuma na kutibua kila movement za Chelsea.
So far ni matokeo mazuri lkn kuna mengi ya kufanyia kz.