Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

IMG-20161212-WA0027.jpg
Malaysia Chelsea fan decorated his wedding with Chelsea theme.
 
Malafyale. Kumbe wewe unaongea kitu usichokijua. Meanwhile ndiyo kazi ya stricker yaani kufunga taouti na ninyi manavyo mtegemea cotinho na mane. Pia ujue chelsea inacheza kama timu. Wanadefend vizuri wanashambulia na kufunga pia. Kwa uthibitisho zaidi tumeshinda mechi 9 on row, tumefuga magoli 23 tumefungwa magoli 2 kati ya izo mechi 9. Can u imagine. Na wew umeshinda ngapi na umefunga magoli mangapi na umefungwa magoli mangapi. Toa data acha bla bla
Kwa hiyo Coutihno sio mchezajiwa Liverpool?Huwa tunamchukua kwa kumuazima Swansea City?
Ila nyie Costa ni wenu na akifunga ni sawa lkn sisi Coutihno akifunga ni sababu tumategemea?
Mmetangulia kwa baiskeli ya miti!!
 
Sasa Mkuu Costa ni mfungaji, all eyes on goal. Kwan huyo Costa anapewa mpira na kipa akafunge au anapewa pasi na wenzake tena viungo au wale wing-backs ambao ni kazi yao kumsaidia afunge, sio mabeki.

Je unahabari pia kwamba magoli ya Chelsea yamefungwa na zaidi ya wachezaji watano tofauti. Ila wewe sasa ambaye unasema na kuonyesha wazi kuwa mnawategemea eidha Coutinho au Mane watakapokuwa hawapo wote utakuwa na hali gani.

Costa hayupo Hazard au Pedro anakaa mbele pale.....na waha najua wajua uwezo wao.
Coutihno akipewa mpira yy asifunge?
Chelsea bana arguments zao daaah!
 
Unapokuwa na straiker kama costa utakosaje ushindi asipofunga basi ataasist .
c0b440453a07177758e3c1297fa585a3.jpg

12- Goals
5- Asists
1-Award player of month November
 
Kwa hiyo Coutihno sio mchezajiwa Liverpool?Huwa tunamchukua kwa kumuazima Swansea City?
Ila nyie Costa ni wenu na akifunga ni sawa lkn sisi Coutihno akifunga ni sababu tumategemea?
Mmetangulia kwa baiskeli ya miti!!
Mnatamqni mkae pale mbele hata kwa sekunde 1 but imeshindikana.
 
WBA kaonyesha Chelsea ni team ya kawaida tu tofauti na majigambo yenu hapa
Mtakiona cha mtema kuni mkija Anfield
Hapo anfield tulikuwa tunashinda na makocha wa kawaida kama guus hiddink, sasa now tupo na italian super technician "conte". Huo mziki wake hamuwezi kuucheza mtapigwa nyingi sana. Kocha wenu kageuka kurumbana na "Neville family" wanavowadiss kuanzia goalkeeper wenu na defence yenu mbovu. Lile pazia lenu litafunuliwa sana.
 
Eti naskia FA watatupokonya point ni kweli?
Ndio, wanaangalia uwezekano wa kutupokonya coz wanadai ni mara ya pili team inashindwa kuwa control wachezaji wake, refer game ya spurz last season. According to FA RULE [HASHTAG]#E20[/HASHTAG]. But conte alivohojiwa alisema "it will be a joke for point deduction".
 
Ktk viungo tuko vzr sn.... Jana kulikua Na matatizo kidogo km unakumbuka WBA waliweka marking ya hali ya juu kwa watu km Hazard Na Pedro kuhakikisha hawachezi kabisa Na km unakumbuka alivyongia Willian badala ya Pedro ndio kidogo kukawa Na uhai.

Alafu pia Faby sio km atauzwa unajua ukiamuangalia Conte namna anavyowatumia wachezaji ni kwamba anawajali sn na anataka wabaki ktk ubora wao. Ndio maana Faby anapumzishwa baada ya kutumika sn na si Faby tu wapo kina Ivanovic Terry lkn Ata km wanapewa dk chache kucheza wanafanya vzr.

Kikubwa kocha atafute mbinu mbadala ya kupenya km timu zikija dizaini ya WBA.
to help you jirani Terry kanyimwa mkataba mpya that one you should know... ila mengine tusubiri tuone
 
Malafyale hawezi kuja hapa.

Bado Gunners.
Kaka usijisifie mfumo ambao kila kukicha watu wanakujia na suruhisho ya tatizo sawa bado arsenal ila nini kinatokea timu kama WHA wanapofanikiwa kuwakamata play maker kama Harzad na Pedro worse kiungo kabaji inapopotea kabisa???

Nimeufatilia sana huu mfumo I swear mtakutana na wabovu wabovu watawatandika haswaa

Usipende sana tazama mpila kinaga ubaga kaka we ni moja kati ya waelewa humu na yule jamaa anaitwa Mentor
 
Hapo anfield tulikuwa tunashinda na makocha wa kawaida kama guus hiddink, sasa now tupo na italian super technician "conte". Huo mziki wake hamuwezi kuucheza mtapigwa nyingi sana. Kocha wenu kageuka kurumbana na "Neville family" wanavowadiss kuanzia goalkeeper wenu na defence yenu mbovu. Lile pazia lenu litafunuliwa sana.
Nonda mnafungika vizuri tu
 
Kaka usijisifie mfumo ambao kila kukicha watu wanakujia na suruhisho ya tatizo sawa bado arsenal ila nini kinatokea timu kama WHA wanapofanikiwa kuwakamata play maker kama Harzad na Pedro worse kiungo kabaji inapopotea kabisa???

Nimeufatilia sana huu mfumo I swear mtakutana na wabovu wabovu watawatandika haswaa

Usipende sana tazama mpila kinaga ubaga kaka we ni moja kati ya waelewa humu na yule jamaa anaitwa Mentor
Ukisemacho ni kweli Ata Mimi baada ya game Na WBA nilisema kuna vitu vya kujifunza ktk huo mchezo unaweza kupitia post zangu huko nyuma lkn yote yanafanyiwa kz vzr km nyie mnavyofanyia kz mfumo wetu. Lkn kikubwa ni kwamba sisi tunacheza kulingana Na adui yetu alivyo.
 
Nonda mnafungika vizuri tu
Kufunguka ndio tunafungika, ila tuna percentage nyingi za kushinda. Hata game vs spurz tuliruhusu goal but at the end wewe mwenyewe unajua kilichowapata, likewise against man city. Chakukusaidia zaidi conte yupo "flexible sana" sana kulingana na team anayoenda kupambana nayo.
 
Ukisemacho ni kweli Ata Mimi baada ya game Na WBA nilisema kuna vitu vya kujifunza ktk huo mchezo unaweza kupitia post zangu huko nyuma lkn yote yanafanyiwa kz vzr km nyie mnavyofanyia kz mfumo wetu. Lkn kikubwa ni kwamba sisi tunacheza kulingana Na adui yetu alivyo.
Mark my words akinaswa hazard na Pedro uwa mbadala ni Willian na anaingizwa fabregas ili kupiga pass ndefu zitazomkuta willian au Costa so kwa hali hiyo mpila unakua haukai mbele sababu wilian ni mpigaji ila si mpiga asist mzuri kifupi hawezi kumchezesha costa tokea pande yake na ndio maana mara nyingi anaingia nazo

Kma WHA imefungua macho makocha wengi kuhusu mfumo wenu sabu niliona walifanikiwa kumdhibit hazard na pedro wakaharibu kiungo yote nikaona costa anakuja kutafutia mipila kulia na Alifanikiwa kupata gori sabu ata jitihada za willian azikuzaa kitu kma unakumbuka..

Gori ufungwa kwa kosa lakini kama yule beki angekua conscialiny sizani kama costa angefanikisha azma yake

Ushauri wangu ni kwamba kwa mfumo ule conte hapaswi kua na KEY players yani pale anapaswa kuanzisha mashambulizi toka kwa yeyote Kati ya 7'11'8 na sio 7, 11 ila kwa mwendo ule wa hazard au Pedro haha tupo hapa maana... matic apate msaidizi wa namna yake kazi anayoifanya na mkata umeme ni kubwa sna

Mkata umeme he's too physical matic more of akili mchawi umri so wadau msijisahau.

Binafsi kwa sasa naangalia game za Chelsea kuliko.
 
Ndio, wanaangalia uwezekano wa kutupokonya coz wanadai ni mara ya pili team inashindwa kuwa control wachezaji wake, refer game ya spurz last season. According to FA RULE [HASHTAG]#E20[/HASHTAG]. But conte alivohojiwa alisema "it will be a joke for point deduction".
 
Ndio, wanaangalia uwezekano wa kutupokonya coz wanadai ni mara ya pili team inashindwa kuwa control wachezaji wake, refer game ya spurz last season. According to FA RULE [HASHTAG]#E20[/HASHTAG]. But conte alivohojiwa alisema "it will be a joke for point deduction".
Kumbuka uzuri hatuwezi kupokonywa point simply FA ilikuwa haijatoa onyo labda sasa ikitokea tena ndo tunapokonywa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom