Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hizi timu ndogo huwa zinaotea alafu zinapaki basi cha msingi vijana waanze mechi kama vile wamefungwa. Ila kuna dought ya luis kuanza kutokana na majeruhi aliyoyapata
Kwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...

Timu ambayo inaweza kuizuia chelsea kwasasa badi ni kitendawili sababu amekamilika kila idara tofauti na timu kama Liverpool wenye good attack na poor defence tofauti na Man city ambao nao defence yao inakuwa kama haijakaa sawa ..

Na kuhusu suala la Luiz kutokuwa sawa nadhani tusubiri mpaka baadae kidogo hapo ndotutajua kama ataanza au hatoanza .

Nakama ikitokea hatoanza kwa gemu ya leo hata team ceptain John Terry anaweza akacheza na kuimudu vyema sababu westbrown attack yao haiko nakasi sana .

All the Best my Chelse
 
Kuna taarifa za kusikitisha kwa fans wote wa chelsea kwamba kutokana na fujo za wachezaji wa chelsea kuanzia ile mechi ya toten last season na ya sasa ya man city kunauwezekano mkubwa chelsea kunyanganywa points. Sijaelewa FA wana maana gani? kunyanganya points badala ya kudeal na muanzishaji fujo
Hakuna kitu cha namna hiyo,labda hiyo sheria iwe ni mpya na inaanza kutumika kwa Chelsea! Nijuavyo mimi kesi kama hizo ni team hupigwa "faini" tu au team kucheza bila supporter wake kuwepo uwanjani.
 
Yeah km kungekua na swala LA kupanga matokeo hapo ndio hukumu ingehusu kupokwa points au kushushwa daraja timu.

Lkn kwa mambo ya vurugu yaanangukia ktk adhabu ya faini au kucheza bila fans.
 
Kwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...

Timu ambayo inaweza kuizuia chelsea kwasasa badi ni kitendawili sababu amekamilika kila idara tofauti na timu kama Liverpool wenye good attack na poor defence tofauti na Man city ambao nao defence yao inakuwa kama haijakaa sawa ..

Na kuhusu suala la Luiz kutokuwa sawa nadhani tusubiri mpaka baadae kidogo hapo ndotutajua kama ataanza au hatoanza .

Nakama ikitokea hatoanza kwa gemu ya leo hata team ceptain John Terry anaweza akacheza na kuimudu vyema sababu westbrown attack yao haiko nakasi sana .

All the Best my Chelse
Luiz anaweza kuwapo ila Pedro kuna wasi wasi asiwepo na akaanza Willian.
 
Kwa upande wa chelsea kwa msimu huu anadefence nzuri ambayo imeruhusu magoli machache sana na kwa upande wa attack nako imekamilika ...

Timu ambayo inaweza kuizuia chelsea kwasasa badi ni kitendawili sababu amekamilika kila idara tofauti na timu kama Liverpool wenye good attack na poor defence tofauti na Man city ambao nao defence yao inakuwa kama haijakaa sawa ..

Na kuhusu suala la Luiz kutokuwa sawa nadhani tusubiri mpaka baadae kidogo hapo ndotutajua kama ataanza au hatoanza .

Nakama ikitokea hatoanza kwa gemu ya leo hata team ceptain John Terry anaweza akacheza na kuimudu vyema sababu westbrown attack yao haiko nakasi sana .

All the Best my Chelse
Amen
adc20388b87751fbb933a9cdf89878b2.jpg
 
Yeah km kungekua na swala LA kupanga matokeo hapo ndio hukumu ingehusu kupokwa points au kushushwa daraja timu.

Lkn kwa mambo ya vurugu yaanangukia ktk adhabu ya faini au kucheza bila fans.
mkuu wangu@ntuzu ungesoma gazeti la mirror kuhusu issue hii nadhani usingecoment kama ulivyofanya
 
Line up ya Chelsea iko vile vile bila mabadiliko.

Willian na Faby wanaanzia benchi Matic amerudi Leo anaanza na Luiz na Pedro wote wanaanza wako vzr.

Hakuna mabadiliko Ata kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom