Safety last
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 4,242
- 1,429
Fabregas assist the ball to Costa
Nomaaaaaaaaaaaaawoyoooooooooooooo
piga keleleeeeeeeeee
![]()
Moyes naye alikuepo kuangalia ni jinsi gani ya kuwathibiti chelsea siku ya jumatano ...
Ila uzuri wa conte habadili formation ni ileile 3:4:3 lakini makocha wanapata tabu jinsi ya kuukabili mfumo na atakacho kutanancho moys jtano hata kaa amini ..
Viva chelsea forever
Huo mfumo naona unawaliza kila siku lakin hawabadili ...ngoja liverpool afanye yakeNaangalia game ya Liverpool na Westham United, naona WHU wameingia na 3:4:3 sijui kama wataitendea haki
Ila kuna kitu cha kujifunza ktk huu mchezo Wa Leo maana WBA waliweza kuwapoteza Chelsea ktk kupiga mashuti golini kwao. Na Chelsea walishindwa na kubaki kudrible mipira nje ya box tu huku muda ukiwa unaenda.WBA walijaza timu nzima kwenye kiungo kuwabana middle za Chelsea, ukiingalia mechi kiundani utaona WBA walikwa na lengo la kutafuta sare tu
Anyway, Chelsea kama kawaida yetu tumerudi kwenye nafasi tunayostaili, ngoja tuiomnee njaa Liverpool
WHU huo ndio mfumo wao wanaoutumia.... Na wameuzoea sn...Naangalia game ya Liverpool na Westham United, naona WHU wameingia na 3:4:3 sijui kama wataitendea haki
kweli kaka, kuna haja kubwa ya kiwa na mbadala wa huo mchezo, maana sasa wanaufanyia research, maana Totenham walijitahidi sana kutubada, na tuliwafunga baada ya wakina Dembele kuchoka, labda awe anaswitch 4:3:3 nao sio mbaya sanaIla kuna kitu cha kujifunza ktk huu mchezo Wa Leo maana WBA waliweza kuwapoteza Chelsea ktk kupiga mashuti golini kwao. Na Chelsea walishindwa na kubaki kudrible mipira nje ya box tu huku muda ukiwa unaenda.
Sasa ni wakati Wa Conte kutafuta mbinu mbadala kwa timu zikija kwa njia km hii maana WBA Leo shida yao ilikua ni sare tu km ulivyo sema na ndio hicho walikua wanakitafuta na kujishindilia nyuma na kutibua kila movement za Chelsea.
So far ni matokeo mazuri lkn kuna mengi ya kufanyia kz.
Kaso wanalolifanya WHU nikucheza kwa mazoea kama mfumo wa 3:4:3 ungekuwa unaleta manufaa kwao wasingekuwa kwenye nafasi ya 17...WHU huo ndio mfumo wao wanaoutumia.... Na wameuzoea sn...
Huyu sasa atapark semi 3.View attachment 445069
Super Frank Lampard alikuwepo kuangalia vijana wakifanya kazi
View attachment 445070
Andre Pirlo pia alikuwepo
View attachment 445071
David Moyes alikuwepo kuangalia jinsi gani ya kuwadhibiti Chelsea tukikutana Jumatano
At-least kwa leo umetusaidia kuwapunguza kasi Liverpool. Tena kidogo West Ham ishindeKocha wao anchotakiwa kufanya ni kuangalia wachezaji wake wanafeet kwenye mfumo upi lakin kwa huu wa 3:4:3 watakuwa walia kila siku