Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,047
- 3,978
- Thread starter
- #34,901
Leo Cheslea hali ni ngumu.
Hii timu inakaba aisee
Leo Cheslea hali ni ngumu.
hawa jamaa wamekamia na first half dhamira yao imetimia, bila kuforce hatuwafungi. Hapo ndipo hazard anatakiwa aonyeshe maajabu yakeHii timu inakaba aisee
Pamoja na refa kujitahidi kuwabeba Chelsea ila bado wana hali ngumu.
refa anawabebaje mdau?Pamoja na refa kujitahidi kuwabeba Chelsea ila bado wana hali ngumu.
Pamoja na refa kujitahidi kuwabeba Chelsea ila bado wana hali ngumu.
Nime overlook, kuna kadi za mwanzo alizitoa niliona hazina sababuSo far sijaona mahali ambapo refa amewabeba. Au unamaanisha ile mechi ya I think last season or so ambapo refa aliwabeba Chelsea kwa kuwapa penalti dakika za mwisho?
Ngoja atubebe.refa anawabebaje mdau?
9 wins
That was the toughest game for Chelsea so far. More to come.
Yes. Jamaa at some point walikuwa wanacheza na ''back 7''. Sasa utapita wapi ukafunge?Dah mechi ilikuwa shida sana.. lakini kwa vile tumezoea kushinda