Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Najaribu kuweka maneno kwenye mawazo yaliyokuwa yakipita kichwani mwa David Luiz wakati huu....

960.jpg
 
kumbuka kuna hazard unaweza kumteua luis ukaleta mgawanyiko ktk timu miye naona hazard na diego watafaa zaidi

unamteua Hazard kwa kuwa ni star ama kwa kuwa ana uwezo wa kuongoza na ku-motivate wenzake?

Heri hata useme Diego.

Kwa kufuatilia interviews za wachezaji wenyewe...watu wanaoweza kupewa u-captain kwa kuwa wana uwezo wa kuongoza/motivate ni;
- David Luiz
- Costa
- Azpilicueta
- Matic.
 
Mkuu hapo mimi nakubali awe Luiz
 
Mpaka wajue sisi tutakuwa tumeshachukua ushindi, na wakijua msimu ujao sisi tutakuwa tumeshatafuta mfumo mbadala wa kutesa nao
Sooner than later watang'amua tu. Soccer ni mchezo ambao no one has dominated forever, nyie msubiri tu kutumbuliwa, tena na lower teams.
 
Nilitoka ukumbini huku nikichukia kumaliza saa moja na nusu kwa match ya el classico ilikua match ya kawaida sana na nilifika nyumbani nikaichukua laptop yangu nikatafuta fullmatch ya man city na chelsea na kuitazama upya hakika ilikua bonge la match ilikua na mzuka mwingi uzalendo wa kila mchezaji na team yake mpira ulichangamka sana mwanzo mwisho hakika nilienda nyumbani na nikaandika kwenye kijitabu changu cha kumbukumbu kuhusu match hii hakika nitaikumbuka sana
Hakika mchezo ulikua mkali sana na ilikua match nzuri kuwahi kuishuhudia
Team zilitengeneza nafasi nyingi sana na match ilikua ya kasi nyingi sana presha zilikua juu sana kwa mafans wa team zote ndani ya dk 90 za mchezo huu
Ai laviu chelsea niliona kitu kingine kipya kabisa kutoka kwenu
 
Sooner than later watang'amua tu. Soccer ni mchezo ambao no one has dominated forever, nyie msubiri tu kutumbuliwa, tena na lower teams.

Hata mimi siamini kama tutamaliza ligi kwa kufungwa hizi tu mechi mbili, japo uwezekano ni mkubwa. Ila tukifungwa sio kwamba ndio wamejulia mfumo mambo mengi yanachangia, na hakika baada ya hiyo mechi ambayo labda tutafungwa atayefuata ataoga mengi sana
 
unamteua Hazard kwa kuwa ni star ama kwa kuwa ana uwezo wa kuongoza na ku-motivate wenzake?

Heri hata useme Diego.

Kwa kufuatilia interviews za wachezaji wenyewe...watu wanaoweza kupewa u-captain kwa kuwa wana uwezo wa kuongoza/motivate ni;
- David Luiz
- Costa
- Azpilicueta
- Matic.
unadhani hazard kuwa captain wa ubelgiji ni kwa sababu gani?
ukepteni ni zaidi ya kuongea, vitendo tu namna unavyoipigania club vinatosha sio lazima kepteni ukaongea sana.Wapo malegend wakina drogba hawakuwa makepteni lakini waliwamotivate wachezaji kwa kucheza kwa jihad na pia kuhamasisha wachezaji wenzake hivyo hazard still nampa nafasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom