Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sooner than later watang'amua tu. Soccer ni mchezo ambao no one has dominated forever, nyie msubiri tu kutumbuliwa, tena na lower teams.
Mkuu sisi level zetu saizi ni "madrid/barca/juve/bayern" ndo zaweza kutuletea ushindani ila sio team za "epl". Hizi tutazifunga zote, now bado liver & asenali.[HASHTAG]#habari[/HASHTAG] mnazo#.
 
unadhani hazard kuwa captain wa ubelgiji ni kwa sababu gani?
ukepteni ni zaidi ya kuongea, vitendo tu namna unavyoipigania club vinatosha sio lazima kepteni ukaongea sana.Wapo malegend wakina drogba hawakuwa makepteni lakini waliwamotivate wachezaji kwa kucheza kwa jihad na pia kuhamasisha wachezaji wenzake hivyo hazard still nampa nafasi

Hazard na Neymar ni captains just to prize their egos! Sio kwa kuwa wana uwezo wowote wa kuwaongoza wenzao, kuwa-motivate wenzao wala nini.

Niambie leo Hazard akiwa captain, timu imefungwa 3 - 0, dakika ya 60, unadhani ataweza kuongoza kwa vitendo/maneno/whatever kumotivate wenzake for a comeback!??? I say a big NO.

Hazard is a good player, arguably our best player but not captain material!
 
DAVID LUIZ MOREIRA MARINYO has all qualities to be our next EL CAPITANO.
 
Kwa sasa mtu ambaye ni mzuri kuwa captain chelsea ni DAVID LUIS. huyu jamaa ana mapenzi kabisa na timu pia anajua kuamasisha timu ili ipate ushindi. Wachezaji wote ni wazuri tena sana but ukirudi kwenye suala la ukaptain nasema Luis apewe mkoba wa kumrithi John Terry.
 
Nimejaribu kuangalia baadhi tu ya hawa madogo waliopo sehemu mbalimbali katika timu za mikopo, na kujaribu kuwaweka katika nafasi mbalimbali kwenye huu mfumo wa 3-4-3. Kwakweli naona huko mbele kama misimu mwili tu ijayo hatuna haja ya kununua wachezaji hata kidogo

_jcr_c.jpeg

Bertrand Traore - Forward (nafasi kama ya Diego Costa, au hata mshambuliaji wa pili)

_jcr_content..jpeg

Kenedy - Wing back wa kushoto (nafasi kama ya Alonso)

_jcr_content.aut.jpeg

Andreas Christensen - Beki wa kati (nafasi kama ya Luiz)

_jcr_content.autote.jpeg

Nathaniel Ake - beki wa kushoto ( nafasi kama ya Cahil)

_jcr_content.autoteaser.jpeg

Tammy Abraham - Forward (huyu nae pale pale kwa Diego Costa)

h.jpeg

Charly Musonda - winger (nafasi kama ya Pedro)

_jcr.jpeg

Lewis Baker - Two footed midfield (nafasi ya Matic pale)
 
Nimejaribu kuangalia baadhi tu ya hawa madogo waliopo sehemu mbalimbali katika timu za mikopo, na kujaribu kuwaweka katika nafasi mbalimbali kwenye huu mfumo wa 3-4-3. Kwakweli naona huko mbele kama misimu mwili tu ijayo hatuna haja ya kununua wachezaji hata kidogo

View attachment 443141
Bertrand Traore - Forward (nafasi kama ya Diego Costa, au hata mshambuliaji wa pili)

View attachment 443142
Kenedy - Wing back wa kushoto (nafasi kama ya Alonso)

View attachment 443143
Andreas Christensen - Beki wa kati (nafasi kama ya Luiz)

View attachment 443144
Nathaniel Ake - beki wa kushoto ( nafasi kama ya Cahil)

View attachment 443145
Tammy Abraham - Forward (huyu nae pale pale kwa Diego Costa)

View attachment 443146
Charly Musonda - winger (nafasi kama ya Pedro)

View attachment 443148
Lewis Baker - Two footed midfield (nafasi ya Matic pale)
[/ATTACH] View attachment 443141
Je huko wanapata nafasi ya kucheza..!? isije kuwa benchi wanasugua

Wakaja kuharibu timu hapo badaye au kuuzwa
 
Mkuu wafuatilie hao madogo, wanacheza sana na wako vizuri, kidogo ambaye hachezi sana ni Kenedy.

Lewis Baker - Vitesse.
Charly Musonda - Real Betis
Tammy Abraham - Bristol City
Nathaniel Ake - Bournemouth
Andreas Christensen - Borussia Monchengladbach
Kenedy - Watford
Bertrand Traore - Ajax
 
Hivi Kennedy anacheza kweli? maana sijamuona katika mechi zote nilizoangalia za Watford!
 
Hao wawili bado sijawaweka kwenye kikosi cha Chelsea..wana safari ndefu ya kunifanya niwakubali kwa kweli! [HASHTAG]#bado[/HASHTAG]

Ni kweli bado wana safari ila kwa miaka miwili ijayo watakuwa maeiva, kama Conte akiwaweka chini ya uangalizi wake msimu ujao kama anavyofanya kwa Chalobah
 
Je huko wanapata nafasi ya kucheza..!? isije kuwa benchi wanasugua

Wakaja kuharibu timu hapo badaye au kuuzwa
Mm pia nawafuatilia sana hawa madogo, hapo anaesugua ni kennedy peke yake
Ake ameshafunga magoli mawili yaliyoipa benourmous point 6 ikiwemo mechi ya liverfools huyu dogo ni kiraka azipilicueta akasome maana anacheza beki ya kati na pembeni kushoto pia ni middle 6

Andreas cristean ni bonge la beki na tayari anauzoefu wa uefa na sasa ni first eleven wa borussia monchegladbach msimu ujao anaweza akarudi, sema sasa anataka first eleven wakati huo huo zouma anaweza akaja kukichafua balaa sijui itakuaje

Musonda nae anajua kinyamaa hasa dribbling pedro na willian wakasome yuko real betis now ana injury ila yuko vizuri speed ya kutosha

Huyo Tammy abraham anatupia kinomaa hadi conte anamsifia yuko championship bristol lovers kama sijakosea sema hana kasi kama mnyama costa ila anaphysic nzuri kuliko hata michy

Kennedy yuko watford ila bado sijaona kama ameshacheza na nahisi walimchukua kwasababu aliwafunga goli la mapema la msimu

Traole anapata muda mwingi mno ajax lakini sioni akinishawishi, ninachompenda anakasi, anajua off the ball moves pia anatumia mguu kama wa messi mara nyingi ila bado sana kurudi kwenye level zake ninazozijua za magoli 14-20 kwa msimu

Lewis baker sijui hata yuko wapi nitamtafuta, pia wapo wangine wengi wazuri tuu hasa ligi ya uholanzi na championship ila walioko uholanzi most of them wajua including mbrazili yuko vittesse jina sikumbuki
 
Mkuu huyo Baker ni hatari huko, yupo kikosi cha kwanza, huyu ni kiungo mtengenezaji anaetumia miguu yote na faulo pia anapiga. Kamtafute bila kukosa

Wapo wengine wazuri ni kweli, ambaye nataka kumfuatilia kwa sasa na sijui alipo ni yule dogo Tomas Kalas
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom