Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

15241742_1825778027644284_3051021524737600812_n.png

ha ha ha ha ha ha, waje tu nafasi zipo za kutosha
 
Hivi Kennedy anacheza kweli? maana sijamuona katika mechi zote nilizoangalia za Watford!
Kennedy yupo injury, karudishwa home(chelsea squard)he trained with chelsea squard, hadi majuzi akawa anatupia pics insta wakiwa na david luiz on training at cobham. Yeye na remy wamerudishwa on parent club kujiweka fit zaidi agaisnt injury.
 
Mm pia nawafuatilia sana hawa madogo, hapo anaesugua ni kennedy peke yake
Ake ameshafunga magoli mawili yaliyoipa benourmous point 6 ikiwemo mechi ya liverfools huyu dogo ni kiraka azipilicueta akasome maana anacheza beki ya kati na pembeni kushoto pia ni middle 6

Andreas cristean ni bonge la beki na tayari anauzoefu wa uefa na sasa ni first eleven wa borussia monchegladbach msimu ujao anaweza akarudi, sema sasa anataka first eleven wakati huo huo zouma anaweza akaja kukichafua balaa sijui itakuaje

Musonda nae anajua kinyamaa hasa dribbling pedro na willian wakasome yuko real betis now ana injury ila yuko vizuri speed ya kutosha

Huyo Tammy abraham anatupia kinomaa hadi conte anamsifia yuko championship bristol lovers kama sijakosea sema hana kasi kama mnyama costa ila anaphysic nzuri kuliko hata michy

Kennedy yuko watford ila bado sijaona kama ameshacheza na nahisi walimchukua kwasababu aliwafunga goli la mapema la msimu

Traole anapata muda mwingi mno ajax lakini sioni akinishawishi, ninachompenda anakasi, anajua off the ball moves pia anatumia mguu kama wa messi mara nyingi ila bado sana kurudi kwenye level zake ninazozijua za magoli 14-20 kwa msimu

Lewis baker sijui hata yuko wapi nitamtafuta, pia wapo wangine wengi wazuri tuu hasa ligi ya uholanzi na championship ila walioko uholanzi most of them wajua including mbrazili yuko vittesse jina sikumbuki
Kenedy ni majeruhi mkuu, karudishwa nyumbani(chelsea).
 
Alieko Vittesse ni Mbrazil Nathan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom