Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kwi kwi kwi kwi.

Haya Mkuu naona leo mmekuwa kama kipofu aliyeona mwezi basi fuko mtaa mzima, mkipigwa bao mnakimbia kabisa hata kuchungulia hapa hamtaki. Haya tunangoja mchapo wa Jumamosi ijayo maana labda mshindi wa msimu huu ndiyo atajulikana siku hiyo.
 
Bora msheherekee leo maana matanga yalizidi msisahau kumaliza vinywaji maana hii leo ndio mwisho wenu ndio highest level mliyofika msimu huu kwa kuwaburuza Villa kwa magoli saba ni historia kubwa sana almost 45 years hawajaweza kuadhibiwa namna hii. Jipongezeni kwa mara ya mwisho.



BTW pelekeni sms kwa Masanilo aka Kikojozi na Taliban supporter ... ... msiwasahau kwenye sherehe ya mwisho wa mwaka almanusura wawe Invisible.


middle_finger.gif
 
Khe khe khe khe naona Chelsick wanafahamu nini kinafuatia. Ndio mafioso walivyo.
 
Rev. Masa leo mmeshinda, mbona huonekani? Au unatuwazia Man U au kipigo cha 'the special one' bado kinakuzunguka???!!
 
Teh teh...Jirani nini tena?....Kaa kimya tu....Mkianza kujibizana kwa staili hii inakuwa ngumu kutofautisha.........................

Kuna jamaa wamekuwa watazamaji tu si hizi baada ya kubanguliwa. Wamekuwa kama malaya wanaotafuta wateja.
 
Mmh, Manu tutawapiku tukiwashinda tutakapopambana wao. Kina Wenge Muzica, nendeni Bagamoyo.

Masanilo kastaafu!
 
duh bonge la Starehe, kwa waliosoma Hesabu nadhani wanaijua hii topic
Sequence and Series, kwa Kiswahili swali lilikuwa linasema andika namba inayofuata

5,7,. (Pompey (5), Villa (7), man(?) )
 
duh bonge la Starehe, kwa waliosoma Hesabu nadhani wanaijua hii topic
Sequence and Series, kwa Kiswahili swali lilikuwa linasema andika namba inayofuata

5,7,. (Pompey (5), Villa (7), man(?) )

Kwa hiyo sequence hapo naona kwa jmosi itakuwa kama jinalo...Kama itawork ntahamia timu ya manyema fc..
 
Mmh, Manu tutawapiku tukiwashinda tutakapopambana wao. Kina Wenge Muzica, nendeni Bagamoyo.

Masanilo kastaafu!

Nipo Rev K, ila naona kuna ngoma za watoto huku! Sisi wakubwa tunawaachia waendelee kucheza na tope! Tumebakiza mechi moja na Man Utd matokeo ya draw ama ushindi basi kombe hilo May! Where was Maoluda before?

Peace and Respect
 
Naona mganga mliempata sasa hivi wa ukweli, lakini mkija OT kibao kitawageukia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom