duh bonge la Starehe, kwa waliosoma Hesabu nadhani wanaijua hii topic
Sequence and Series, kwa Kiswahili swali lilikuwa linasema andika namba inayofuata
5,7,. (Pompey (5), Villa (7), man(?) )
Labda mngekuwa mnacheza na Arsenal9....
Labda mngekuwa mnacheza na Arsenal
CHELSEA pay their stars an AVERAGE of more than £3.5million a year, a shock report reveals.Kazi iliyobaki ni kumsukuma mlevi OT tar 3 April....
![]()
Hivi kule ndo kulikuwa kugeuza kibao siyo mkuu Belo? Nadhani matoke umeyaona..Naona mganga mliempata sasa hivi wa ukweli, lakini mkija OT kibao kitawageukia
Hesabu iligoma ila point 3 ndo tuliziweka kibindoni kama kawaida yetu tunapokutana na Man U.9....
Hesabu iligoma ila point 3 ndo tuliziweka kibindoni kama kawaida yetu tunapokutana na Man U.
Masanilo kwa matokeo ya leo kati ya Manure na Blackburn ni wazi kuwa ubingwa ni wetu labda vijana walewe sifa ndo watatudondosha maana hata tukipoteza game 1 bado mabigwa tu. Wapi wambeya wetu...Next one please! Hii imeisha tunasubiria fainali na ubingwa wa PL we can not afford any slip kwa mechi zilizobaki
Masanilo kwa matokeo ya leo kati ya Manure na Blackburn ni wazi kuwa ubingwa ni wetu labda vijana walewe sifa ndo watatudondosha maana hata tukipoteza game 1 bado mabigwa tu. Wapi wambeya wetu...
Masanilo kwa matokeo ya leo kati ya Manure na Blackburn ni wazi kuwa ubingwa ni wetu labda vijana walewe sifa ndo watatudondosha maana hata tukipoteza game 1 bado mabigwa tu. Wapi wambeya wetu...
Mvina!
Great weekend to be a chelsea fan, top of the league with a game in hand! FA finalist vs Pompey ......hakuna poteza mechi zaidi itakuwa ni draw....tena baada ya kuwa mabingwa!