si utani mkuu, mwendo mdundo!Yap! Yap hadi ubigwa mwendo utakuwa kama huu wa tano tano.
Arsenal 1-1 vs Birmingham, walidroo hapo mwaka juzi na ukawa ndio mwanzo wa kupoteza uelekeo, je history itajirudia?Leo hawa jamaa sijui jana walilala wapi maana duh!
Yeah nimeona hawa jamaa wamekatwa kidogo ngebe lol maana walikuwa wanaona kama ndo wameishakuwa mabigwa vile.Pamoja sana Chelsea fans!Arsenal 1-1 vs Birmingham, walidroo hapo mwaka juzi na ukawa ndio mwanzo wa kupoteza uelekeo, je history itajirudia?
Drogba ni majeruhi ndio maana hakucheza leo; ila vijana wanaweza bila ya yeye kuwepoMh hii ni dalili gani kwa Drogba?
Discipline mkuu si unajua watoto walishajisahau wakawa wanachezea sharubu za chui.Hongereni jirani naona leo mmeamua kutoa kichapo!!
It shows you the squad depth!Mh hii ni dalili gani kwa Drogba?
Ahsante sana Bubu, na wewe hongera sana kwa kuongeza pointi moja, si haba!Hongereni Wakuu akina Invisible, Masanilo, Peasants & Co. Your team is fully aware that this seasons's Champion could be determined by goals difference. Once again congratulations! for a big win.
Ahsante sana Bubu, na wewe hongera sana kwa kuongeza pointi moja, si haba!
kwi kwi kwi kwi.Hahahahahah ahsante kwa dongo mkuu lakini usisahau haba na haba hujaza.....LOL!
![]()
Mkuu check na experian watakueleza kuwa mko blacklisted you aren't worth a penny, including other clubs listed.. Yaani mnaweza kukopeshwa na mafia mwenyewe tu.
The firesale at Chelsea must include Didier Drogba, Michael Ballack and Deco