Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

NicolasAnelka_2442191.jpg

1ChelseaBolton_482x449.jpg
 
Nimeanza kujenga dhana fulani... ili ushinde EPL ni lazima marefa wao upande wako aidha kwa makusudi au inatokea tu. Mechi 3 sasa za Chelsea nashuhudia marefa wanavyowabeba. Leo kulikuwa na penati za wazi mfano: Terry aliposhika mpira ndani ya box na Drogba hali kadhalika. Halafu mtabisha kama mlivyobisha goli la Drogba mlipocheza nasi (offside iliitwa onside). Kwamtindo huu ubingwa mtaupata tu.
 
Vipi goli la Macheda mbona huzungumzii? Au yeye ana haki ya kufunga kwa mikono?! Kwa hiyo unakubali kwamba Manure waliposhinda misimu mitatu walikuwa wanabebwa na marefa!
 
ninajenga dhana, nimekuwa nikiangalia vizuri EPL toka miaka ya 1994. Bingwa wa EPL anakuwa na magoli mengi tata na kulindwa kiajabu ajabu. Huenda haitokei kwa makusudi ila marefa wanajikuta wamefanya hivyo. Hilo ndo linalotokea kwa Chelsea mwaka huu. Kila mechi ni utata tu.
 
Hapo kwenye nyekundu ni exaggeration, kila mechi? Neno "KILA MECHI" linabeba uzito sana! Na sio kweli kwamba maamuzi mabovu yameibeba Chelsea tu mwaka huu, kuna timu nyingi tu zimepata misaada ya marefa, sema wewe interest yako iko kwa Chelsea for the very obvious reason! Acha hizo, KILA TIMU inabebwa na KILA TIMU inaonewa vilevile, controversy in games/sports will always be there as long as waamuzi ni binadamu! Kwa haraka tu ninaweza kuunganisha mechi saba ambazo Manure "wamebebwa" mwaka huu achilia mbali hizo tatu za Chelsea unazolilia.
 
cool, true
 
Vipi goli la Macheda mbona huzungumzii? Au yeye ana haki ya kufunga kwa mikono?! Kwa hiyo unakubali kwamba Manure waliposhinda misimu mitatu walikuwa wanabebwa na marefa!
Hawana lolote ile game ilikuwa yetu ukiachilia mbali na goli lao mkono walilopewa kama ni suala la penati wote tulinyimwa hata hakuna upendelea wowote kwa misingi hiyo sema mafanikio yetu msimu huu ni kujituma tu.
 
chelsea-HAND-SPLAS_1024209a.jpg

Furious Coyle said: "Four points clear... if Chelsea continue to get those decisions I'm sure they will be winning the title. We didn't need any luck, we only needed the officials to get the big decisions right. "There were two stonewall penalties out there for handballs. "I know Drogba is a world-class player but he could play world-class volleyball on that evidence. "Then there's the second one when John Terry handles it. The assistant referee says it hit his shoulder but it's a clear penalty. khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeee .... ....

... ..... And his claims came hard on the heels of Aston Villa's protests that they were denied a penalty during the FA Cup semi-final defeat to Chelsea on Saturday. .. ...

Welcome to the world of mafioso ... .. sasa naona FA wana kazi kubwa, game ya Manure refa aliwekwa benchi sasa huyu sijui wataamua nini, yaani hizi mechi hadi ziishe tutaona mengi. Hivi Bankers wameanza kumkopesha tena Abraham o vich naona anamwaga mpunga kama kawa.
 
Kila timu inabebwa, ila hakuna timu inayobebwa kuchukua ubingwa ni juhudi zako
 
Ila jana zilikuwa penati, na ile rafu ya JT dhidi ya Milner alistahili red card .Kuna umuhimu wa kuongeza assistant referee kwenye kila goli
 
chelsea-HAND-SPLAS_1024209a.jpg

Welcome to the world of mafioso ... .. sasa naona FA wana kazi kubwa, game ya Manure refa aliwekwa benchi sasa huyu sijui wataamua nini, yaani hizi mechi hadi ziishe tutaona mengi. Hivi Bankers wameanza kumkopesha tena Abraham o vich naona anamwaga mpunga kama kawa.

Gallas wa Fat Arse Anal made a horrendous tackle on Mark Davies, that was a straight red card! referee alipeta nadhani Mr Bean alihonga!! Next time Drogba ataombwa acheze na Mguu Mmoja iliasiwafunge Arse Anal
 
3754768232-13042010212653.jpg

Coyle hakumuachia refa kwenda kufaidi takrima
bila kumpa vidonge vyake ... ..... ...

Ila jana zilikuwa penati, na ile rafu ya JT dhidi ya Milner alistahili red card .Kuna umuhimu wa kuongeza assistant referee kwenye kila goli

Mkuu unaongelea nini? Hivi unafahamu fweza ngapi ziliwekwa kwenye bookies kwa mpira wa jana kutoka kwa mafioso team? Au unataka Abraham O vich arudi Russia? Ndio sababu nimeandika hapo juu welcome to the Mafioso world khe khe kheeee enjoy mkuu.

BTW wanaoruhusiwa kutoa matusi kwenye jamvi hili ni Mafia team supporters only unless uwe Taliban kidogo watakuachia.
 
Hawana lolote ile game ilikuwa yetu ukiachilia mbali na goli lao mkono walilopewa kama ni suala la penati wote tulinyimwa hata hakuna upendelea wowote kwa misingi hiyo sema mafanikio yetu msimu huu ni kujituma tu.
It has been for years when all sorts of referree decisions were helping MU win the titles. Now, it's Chelsea time! All MU supporters shouldn't be surprised, cause they are used to such referring whenever their team plays..
 
Again kila timu inabebwa but hakuna timu inayoandaliwa kuchukua ubingwa ,tatizo lenu Arsenal timu yenu haina uwezo wa kuchukua ubingwa
 
Vipi goli la Macheda mbona huzungumzii? Au yeye ana haki ya kufunga kwa mikono?! Kwa hiyo unakubali kwamba Manure waliposhinda misimu mitatu walikuwa wanabebwa na marefa!
The referees have won the Premeir League trophy for Chelcheat
 
Baaeleze baambie hao wachovu!
When you wield the power (Sir Alex Ferguson) and the money (Abramovich) it's amazing how decisions seem to go your way. Except of course if the game is European then the playing field becomes more level.Remember Chelsea before Abramovich's billions, one premiership title in 1955, two FA Cup wins. Hardly a top club...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom