Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Matokeo ya London derby hayajalishi nani yupo au nani hayupo! Yeyote anaweza kuwa mshindi.
Kunauwepo wa baadhi ya wachezaji kwa baadhi ya mechi ni muhimu
Hasa kwa mfano mechi ijayo kati ya chelsea na totenham kukosekana kwa danny rose kwa upande wa spurs ni pengo kama ukizingatia moto walionao kwasasa chelsea

Na kama ni mfuatiliaji mzuri utagundua kukosekana kwa dan rose kwa game ijayo ni pengo sababu huyu jamaa ni mtu ambaye anaweza kupanda na timu pia na kurudi nyuma kudefence
 
Halafu Kennedy arudishwe msimu ujao awe anampumzisha Marcus alonso.

Kweli mkuu hata mimi nimeliona hilo, sema sasa nikikumbuka kitu Conte alimwambia Baba Rahman kwamba yeye ni msambuliaji zaidi kuliko mkabaji. Hadi akamtoa kwa mkopop ili akaongeze kujifunza kukaba.

Sasa na Kennedy yupo hivyo, akirudi lazima afundishwe kulinda zaidi vizuri ambapo naamini atakuwa vizuri tu
 
Tukiwapiga chache sana ni 3-0
Nakushauri tembelea site ya premierleague.com usome uchambuzi wa wanaojua mpira walivyoeleza jinsi gani Spurs wanaweza ku-capitalize mapungufu ya 3-4-3 na kupata ushindi mechi ya kesho. Pamoja na kwamba Rose hayumo kwenye kikosi kitakachocheza kesho, kocha Conte anaichukulia mechi ya kesho kuwa ni mechi ngumu (hata wachezaji wanajua hivyo)!
 
Tutambuane kwanza wewe team yako ipi? Maana naona unaumia sana chelsea kushinda wanao chambua mpira ni watu kama wewe ni sawa na mtu anayechambua kua chelsea leo lazima apigwe na wewe ume bet kua chesea anashinda na wewe uka win ni nani? anajua kati hawo wa wili
 
game ya kesho ni ngumu wadau, leteni uchambuzi akina ntuzu, mentor, naukubali sana uchambuzi wenu hakika nyie mnaijua chelsea
 
Na tukiwa tunazuia wanakua 7 Na kule mbele wanabaki watatu Pedro, Costa Na Hazard yani automatic tunawafanya wapinzani washindwe kuja kutushambulia maana wakija wote wanawaacha Hazard, Costa Na Pedro Na wakifanya hivyo inakua hatari kwao. Na kuwazuia hawa wachezaji watatu lazima uwe Na wachezaji wanne. Sasa ukiwa Na wachezaji wanne wanafanya marking kwa wachezaji watatu unapunguza idadi ya wachezaji ktk kushambulia Na kubaki 6. Sasa hao 6 watafanya nini ktk hao 7 Wa Chelsea wanaozuia?

Hahaha na kuwazuia hao sio tu uwe na mabeki wa 4 bali mabeki wa maana wa 4 sio kama wale wa man u
 
Tutambuane kwanza wewe team yako ipi? Maana naona unaumia sana chelsea kushinda wanao chambua mpira ni watu kama wewe ni sawa na mtu anayechambua kua chelsea leo lazima apigwe na wewe ume bet kua chesea anashinda na wewe uka win ni nani? anajua kati hawo wa wili
Mimi ni ze Bluz ila huwa sina tabia ya kubeza timu pinzani kwenye epl. Hata Conte na wachezaji wa ze bluz hawabezi timu pinzani. Kasome comment ya Moses kuhusu mechi ya kesho dhidi ya Spurs uone kwenye site ya club (www.chelseafc.com).
 
CHELSEA VS TOTTENHAM - MATCH STATS

Chelsea have won 25 Premier League matches against Tottenham Hotspur, their most versus one opponent, and they are unbeaten in PL meetings with Spurs at Stamford Bridge.

Eden Hazard, who scored in this fixture in May 2016, has netted in four of his last five PL matches against Spurs.

Harry Kane has netted in each of his last four Premier League matches; equalling his joint-best scoring streak in the competition.

Spurs have won more points in Premier League London derbies since the start of last season than any other side (20 points – W5 D5 L1).

Capture.PNG
 
Matokeo ya London derby hayajalishi nani yupo au nani hayupo! Yeyote anaweza kuwa mshindi.

Ni kweli yeyote anaweza kushinda hiyo mechi, inategemea nani yupo vizuri na katumiaje makosa ya mwenzake. Na mechi ni ngumu sana kwa pande zote mbili.

Ila kumkosa Rose itawasumbua sana Spurs, katika kukaba na hasa katika mashambulizi yao

Captu.PNG

Sasa upande wa V. Moses ndo upande wa Rose, sijui itakuwaje tusubiri tuone
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom