Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea U23s (3-4-3): Eduardo; Zouma, Terry (Sterling 71mins), Tomori; Dabo, Van Ginkel, Fabregas, Aina; Solanke, Batshuayi, Mount (Ugbo 71).

3A9F3CA400000578-3957204-image-m-59_1479737772393.jpg

Terry did not wear the captain's armband for the Under 23s, who were led out by Fankaty Dabo

3A9FC31F00000578-3957204-image-a-103_1479743520300.jpg

David Luiz alikuwepo..

3A9F778100000578-3957204-image-m-63_1479740705107.jpg

3A9FA43400000578-3957204-image-m-88_1479743185445.jpg

3A9F887D00000578-3957204-image-a-78_1479741489950.jpg

3A9FBA1600000578-3957204-image-a-90_1479743203095.jpg

3A9FAF7B00000578-3957204-Fabregas_and_Marco_van_Ginkel_compete_with_Southampton_goalscore-a-94_1479743316498.jpg

3A9FC18F00000578-3957204-image-m-101_1479743461145.jpg
 
3A965AEF00000578-3956498-image-a-8_1479721890759.jpg

Goalkeeper Courtois has now not conceded a goal in 590 Premier League minutes
 
It is the 10th time in Premier League history a club has won six or more games without conceding, and Chelsea are responsible for half of those runs.
 
Spurs wapuuzi kweli, wamefungwa na kutolewa UCL na monaco kisa kuipania game ya league vs Chelsea. Na jumamosi tunawashika pabaya ndo akili zitawakaa sawa.
 
Spurs ya msimu huu hamna kitu, midfield yake haina magoli kabisa ukilinganisha na msimu uliopita wakati kwetu anafunga yeyote kasoro courtour

Pia defence yao hadi awepo yule mbeligiji alderwed ndo haipitiki kizembe lakini asipokuwepo wataondoka na kapu la magoli aisee maana kumkaba costa unatakiwe uwe beki tangu utoto na sio mkabaji maana kuna beki na kuna mkabaji hivyo ni vitu viwili tofauti

Huyo eric dier atakiona
 
Spurs watakuja na hasira nyingi sana kutokana na game ya msimu uliopita tulipowanyima kikombe, na muda wote watakuwa wanacheza na tension kubwa sana kujihami na kutaka kushinda.

Conte atakuwa anajua hilo maana nae alikuwa mchezaji sasa dawa yake ni kufunga goli la mapema kama Man utd, na kushambulia kwa kushtukiza tukitumia wing-backs.

Hii mechi naomba Costa hata akichokozwa vipi awe kama maji ya mtungi aache miguu iongee
 
1479917307136.jpg

Kipa Wa Chelsea siku hizi[emoji123] [emoji123]
1479917386233.jpg

1-3-4-3 Inavyofanya kazi uwanjani.

Tunashambulia 7 tunazuia 7

Kazi wanayo safari hii.
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] unafurahisha
[emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]

Yani tukienda kushambulia 7 nyuma wanabaki watatu Cahill, Luiz Na Azp. Yani hapo ata Counter attack ni marufuku kutokea.

Na tukiwa tunazuia wanakua 7 Na kule mbele wanabaki watatu Pedro, Costa Na Hazard yani automatic tunawafanya wapinzani washindwe kuja kutushambulia maana wakija wote wanawaacha Hazard, Costa Na Pedro Na wakifanya hivyo inakua hatari kwao. Na kuwazuia hawa wachezaji watatu lazima uwe Na wachezaji wanne. Sasa ukiwa Na wachezaji wanne wanafanya marking kwa wachezaji watatu unapunguza idadi ya wachezaji ktk kushambulia Na kubaki 6. Sasa hao 6 watafanya nini ktk hao 7 Wa Chelsea wanaozuia?
 
Jana nimesoma interview ya Danny Rose alisema walilia tulipowafunga msimu uliopita...sijui jumamosi watafanyaje sasa!

Watakuwa wanatuchukia kwelikweli.

Halafu mkuu niona huyo Danny Rose hachezi kumbe.

Costa remains one booking away from a suspension after receiving four yellow cards so far this season. Chelsea could be without the Premier League's top goalscorer for their clash with Manchester City if Costa picks up another booking against Spurs.

Chelsea have no other players walking a disciplinary tightrope, but Tottenham will be without Danny Rose while Jan Vertonghen is one booking away from a suspension.

Source; Goal.com
 
Mama wee kaka Rose hachezi mbona tutawafunga mengi. Halafu kuna defender mwingine hayupo kwao..simkumbuki nani, ni majeruhi.

Wacha nianze kushangilia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom