Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,209
- 27,025
HaahahahahahahSaizi anamtafuta mchawi hamuoni, mara aseme wachezaji wanamuangusha, mara marefa hawampendi, mourinho kwisha habari yake. Huku sisi tukigonga DROSTOFY WINE WITH CONTE[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
Mkuu mou zama zake zimeisha hana alichobakiza kwenye soka
Hata pep naye vile vile nawafananisha na mziki wa singeli ushachuja tayari.[emoji3]
Saivi wanabakia makocha wanaofundisha Mpira zama za makocha wapanga vikosi zilishapita
Sijui man kwanini wanambakiza huyo MTU jeuri[emoji16]