Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[HASHTAG]#simplyConte[/HASHTAG]

15109473_1326618007388791_3063738226821410621_n.jpg
 
Pochettino: "Chelsea top because of easy fixtures"
Bila shaka.
Ooopsie sijui Kina Belo herrera na RRONDO wamesoma hapa lakini?
Looserfool [emoji777]
Man city [emoji780]
Arsenal [emoji777]

Tot [emoji780]
Everton[emoji736]

Man u[emoji736]

Hizi wiki mbili zinazokuja ndio zitasema ukweli, whether its bcoz of easy fixtures or ujanja ujanja.
 
By wiki mbili unamaanisha Tottenham na Manchester City, right!??
 
game ya kesho ni ngumu wadau, leteni uchambuzi akina ntuzu, mentor, naukubali sana uchambuzi wenu hakika nyie mnaijua chelsea
Aisee km wewe ni mpenzi Wa Chimpumu tafuta jagi lako LA chimpumu hiyo SAA mbili unusu usiku ugonge taratiiiiiibu huku unashangilia mvua ya magoli inavyoingia Kwa Spurs.

Km weww ni mpenzi Wa juice km Mimi Basi mwambie mama Kayayiiii agusabrendie juice mchanganyiko ya parachichi na mango na passion then itie hiriki Kwa mbali alafu tafuta ice cream ya vanilla scoops kadhaa uwe unaweka on top baada ya kumimina juice yako ktk glass alafu check kabumbu yako saaaaaafi kabisa uone Conte na watoto wake wanavyokata mshipa mkuu Wa damu Wa mwili Wa Spurs.

Nakwambia hivi hawa Spurs ata wangeenda kuichukua MSN kule barca Kwa game yetu ya Leo nakwambia hawatoki.

Mnyama Luiz Leo hii ata kile kivuli cha yule jamaa Harry Cane atakua anakibutua mashuti. Cahill ndio kabisa yeye anataka kufanya Leo hii kipa wake apande juu ya goli avue groves alale. Azp atahakikisha anaufukuza mpira Kwa kasi ya ajabu kila kona ktk box yao.

Nikija ktk Kwa Kante na Matic uuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiii. Hapo lazima upige mayowe. Jamaa wale ni shida. Huku kwetu gamboshi wanaitwa Stopers. Au kuna wemebe maarufu sn zamani unaitwa Topaz. Sasa matic
game ya kesho ni ngumu wadau, leteni uchambuzi akina ntuzu, mentor, naukubali sana uchambuzi wenu hakika nyie mnaijua chelsea
Aisee km wewe ni mpenzi Wa Chimpumu tafuta jagi lako LA chimpumu hiyo SAA mbili unusu usiku ugonge taratiiiiiibu huku unashangilia mvua ya magoli inavyoingia Kwa Spurs.

Km weww ni mpenzi Wa juice km Mimi Basi mwambie mama Kayayiiii agusabrendie juice mchanganyiko ya parachichi na mango na passion then itie hiriki Kwa mbali alafu tafuta ice cream ya vanilla scoops kadhaa uwe unaweka on top baada ya kumimina juice yako ktk glass alafu check kabumbu yako saaaaaafi kabisa uone Conte na watoto wake wanavyokata mshipa mkuu Wa damu Wa mwili Wa Spurs.

Nakwambia hivi hawa Spurs ata wangeenda kuichukua MSN kule barca Kwa game yetu ya Leo nakwambia hawatoki.

Mnyama Luiz Leo hii ata kile kivuli cha yule jamaa Harry Cane atakua anakibutua mashuti. Cahill ndio kabisa yeye anataka kufanya Leo hii kipa wake apande juu ya goli avue groves alale. Azp atahakikisha anaufukuza mpira Kwa kasi ya ajabu kila kona ktk box yao.

Nikija ktk Kwa Kante na Matic uuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiii. Hapo lazima upige mayowe. Jamaa wale ni shida. Huku kwetu gamboshi wanaitwa Stopers. Au kuna wemebe maarufu sn zamani unaitwa Topaz. Sasa Matic na Kante ni matopaz wake yani wakiona sura au pua ya adui wao ni kukata tu. Ni kukata tu. Yani hawa Spurs Leo mbona shughuli wanayo. Nawambieni hivi ktk siku Chelsea watapiga mpira vibaya sn na wenye kasi ya ajabu ni leo. Maana niwajuavyo spurs eti na wao watakuja wamejitoa ufahamu Wa kushambulia sn. Sasa hapo ndio watalazimishwa kukaa golini kwao wawe wanakodoa macho km mjusi aliebanwa na mlango[emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12]

Sitaki kuongelea upande Wa Moses na Alonso kz yao mnaijua vzr sn. Who can stop them? Nauliza? Yani yule jamaa anaitwa Walker Leo labda akatembelee vijiji vya Ushetu huko mkoa Wa Simiu lkn si darajani. Maana Alonso Jana kaniambia kua anataka kuwaprove mashabiki Wa Chelsea kua yeye ni bora kuliko Ashley Cole na Delhono na Galas.

Nikija huku mbele Kwa Hazard na Pedro na Kiongozi wao Costa. Leo Spurs wajishike.

Jamani story pia inatubeba sn.... Hawa jamaa wajipange sn.

Chelsea home against Tottenham

1998 - Chelsea 2 - 0 Tottenham
2000 - Chelsea 1 - 0 Tottenham
2000 - Chelsea 3 - 0 Tottenham
2002 - Chelsea 4 - 0 Tottenham
2003 - Chelsea 1 - 1 Tottenham
2003 - Chelsea 4 - 2 Tottenham
2004 - Chelsea 0 - 0 Tottenham
2006 - Chelsea 2 - 1 Tottenham
2007 - Chelsea 3 - 3 Tottenham FAC
2007 - Chelsea 1 - 0 Tottenham
2008 - Chelsea 2 - 0 Tottenham
2008 - Chelsea 1 - 1 Tottenham
2009 - Chelsea 3 - 0 Tottenham
2011 - Chelsea 2 - 1 Tottenham
2012 - Chelsea 0 - 0 Tottenham
2013 - Chelsea 2 - 2 Tottenham
2014 - Chelsea 4 - 0 Tottenham
2014 - Chelsea 3 - 0 Tottenham
2015 - Chelsea 2 - 0 Tottenham EFL
2016 - Chelsea 2 - 2 Tottenham

Viva Chelsea...
 
I don't think so Brother.

Kwani ni timu IPI walikua na ratiba ngumu km chuma? Nauliza.
Habari za siku Ntuzu? Naona siku hizi shavu linakutoka tu, vicheko mwanzo mwisho.

Vs Tot ni london derby matokeo huwa hayatabiriki japo naona mnajifariji na historia

Vs man city hii ni pep vs conte mwenye kisu kikali ndio atakae kula nyama.
 
Safi tu mkuu.

Well, derby ni ngumu lkn kwa sasa Chelsea ilivyo hawa spurs wafanya kz sn Leo. Km uliiona mechi ya Middlesbrough last weekend unaweza ukaiona hasira ya Chelsea Kwa vitimu vibishi dizaini hizo na Spurs pia. So Leo itakua ni Mara kumi ya Middle. Yani nikuattack mpk hawa spurs tuwapige magoli kibao ndio tu relax. Na wakijifanya kuamka tena tunawakimbiza mpk Basi....

Biashara iliyopo ni Spurs hao City tutawaangilia baada ya hii biashara ya Leo. Lkn napenda kukwambia hivi Pep ana kz kubwa sn ya kuizuia Chelsea pale Etihad. Kwasababu Chelsea haitokwenda Etihad kupaki Bus. Hakuna sbbu ya kufanya hivyo. Sasa wakijifanya kutiririka Na wao wameisha.
 
Sitaki kuongelea upande Wa Moses na Alonso kz yao mnaijua vzr sn. Who can stop them? Nauliza? Yani yule jamaa anaitwa Walker Leo labda akatembelee vijiji vya Ushetu huko mkoa Wa Simiu lkn si darajani. Maana Alonso Jana kaniambia kua anataka kuwaprove mashabiki Wa Chelsea kua yeye ni bora kuliko Ashley Cole na Delhono na Galas.

Kati ya Walker...Dembele au Wanyama...wasipoangalia vizuri kuna mmojawapo ataondoka na red kesho!
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

Daaaah wakuu hongereni sana kwa moyo thabiti na uvumilivu mliokuwa nao wakati chama letu likipitia transition period aisee ilikuwa inakatisha tamaa but you were the real die hard fans bravo to u .

Aisee bwana yule alituachia nuksi darajani kaipeleka mtaa Wa pili kule hahahahahah

[HASHTAG]#ktbffh[/HASHTAG][emoji123]
 
Saizi anamtafuta mchawi hamuoni, mara aseme wachezaji wanamuangusha, mara marefa hawampendi, mourinho kwisha habari yake. Huku sisi tukigonga DROSTOFY WINE WITH CONTE[emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485] [emoji485]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom