Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hii timu ilipata goli la ngama jana chacha imefufuka hata wale mashabiki koko nao fufuka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkaage hapa kuchangia hata mnapofugwa bana. Chacha raha itatoka wapi kama mnajificha. Hongereni kwa ushindi wa taabu ooops mwembamba, lakini ... ..... .. nichalimieni Invisible et al.
 
Ule upande atacheza Willian huyu Ivanovic na Terry wanaangalia beki Wa kati wale watatu. Kwasababu sasaivi Ivanovic hawezi kucheza mpira Wa kasi hivyo kwahiyo inabidi abaki ktk wale beck line watatu ili asikimbie sn. Ata hivyo hatocheza ktk nafasi ya Luiz atakua pembeni kwa Azp.

Nafasi ya Moses inaweza kuzibwa na watu wengi sn... Ata Pendro mwenyewe then kule mbele kwa pendro akakaa Oscar au Nath Chalobah


Weeeee nafasi ya Moses na Alonso ni ngumu mkuu huwezi elewa mpaka siku mmoja wao akiumia mkuu! trust me Pedro haiwezi hiyo nafasi. Willian tu hawezi au ataweza for 45 minutes kisha anapotea kwenye game. Kwa walioko labda yule dogo Kennedy kidogo angeweza kucheza place ya Alonso.


Ila Mentor ata Hazard kiwango chake kimerudi vzr... Na hii ni kwasababu ya kupunguziwa majukumu ya ukabaji uwanjani. Jamaa amekua vzr sn

I agree kabisa. Mimi nilisema kwa kikosi kizima mchezaji ambaye ame-improve kuliko wote ni Moses. Maana wote wameimprove. Mchezaji pekee ambaye yuko kwenye kiwango chake kile kile tangu msimu uliopita ni Cesar Azpilicueta pekee.


Bado ninalia na subs za Conte...anachelewa mno kufanya mabadiliko. Pedro alitakiwa apumzike tangu dakika ya 65 hivi...
 
Hii timu ilipata goli la ngama jana chacha imefufuka hata wale mashabiki koko nao fufuka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkaage hapa kuchangia hata mnapofugwa bana. Chacha raha itatoka wapi kama mnajificha. Hongereni kwa ushindi wa taabu ooops mwembamba, lakini ... ..... .. nichalimieni Invisible et al.

CxuZNvNWgAANGWB.jpg
 
Aiseee maombi yangu hayakufanikiwa ... ... ... hongereni. Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee There is tomorrow.

Asante sana kwa pongezi zako Wacha1 ila "Tomorrow is there but no one has ever seen it, only today"
 
Hivi weekend haifiki tu...

halafu sijui nina mkosi gani tangu jumapili nakutana na watu wamevaa tshirt zenye ile nembo ya Under Armour wafadhili wa Tottenham...
 
Hii timu ilipata goli la ngama jana chacha imefufuka hata wale mashabiki koko nao fufuka, khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mkaage hapa kuchangia hata mnapofugwa bana. Chacha raha itatoka wapi kama mnajificha. Hongereni kwa ushindi wa taabu ooops mwembamba, lakini ... ..... .. nichalimieni Invisible et al.
Mind the gap! Period
 
Naangalia game ya Tottenham vs Monaco hapa..naona wanafungika tu.

Sema Falcao kakosa penalt hapa na huyu kipa, Hugo LLoris, amewaokoa sana.
 
Gary Nevile aliwahi kusema, "David Luiz anacheza kama a ten year old boy with a playstation"

3A9658FA00000578-0-image-m-3_1479805936343.jpg


Sasa hivi ni nguzo muhimu kwenye back three ya Antonio Conte....sijui anajisikiaje sasa!


3A967E6700000578-0-image-m-4_1479805947576.jpg



He seems to be selecting when to play out from the back and when to get rid of it. He seems to be more mature,' wrote Neville in his Metro column last week.


3A9FF3B400000578-0-image-m-22_1479806259589.jpg


Appearances: 8

Goals: 0

Chances created: 3

Tackles won: 8

Headers won: 10

Pass accuracy: 87 per cent
 
3A96630700000578-0-image-m-20_1479806232671.jpg


Kuna kipindi kabla hajauzwa tulisema atakuwa captain huyu....ame mature vizuri sana aisee

3A9632DD00000578-3960028-image-a-28_1479808020737.jpg


Ila sifa kubwa ziende kwa kocha aisee...hapa ndo unapoona kocha ana mchango gani! Amejitahidi sana kuwabadilisha wachezaji wengi wa Chelsea ambao tulidhani hawatoweza...
 
3A96579200000578-3956606-image-a-1_1479722235858.jpg


Mwanzo wa ligi alipewa 20-1 chance ya kuwa mfungaji bora...sasa mechi 12 kwenye ligi na anaongoza...


3A9656C600000578-3956606-image-a-3_1479722283566.jpg


magoli 10 katika mechi 12

3A95221D00000578-3956606-image-a-4_1479722363874.jpg


Mpaka game ya 7 alikuwa na kadi 4 za njano..sasa hivi kacheza game 5 bila kadi... [HASHTAG]#improvement[/HASHTAG]
 
Jumatatu Premier League 2 (under 23) Chelsea walikipiga na Southampton.

- Eduardo
- John Terry
- Kurt Zouma
- Van Ginkel
- Fabregas
- Mitchy Batshuayi walikuwa kwenye kikosi hicho kilichoshinda 3 -2.


3A9FB9C600000578-3957204-John_Terry_played_for_Chelsea_s_Under_23_side_after_a_lack_of_ma-m-92_1479743254952.jpg


3A9F907F00000578-3957204-image-m-82_1479741837314.jpg



3A9FC0FF00000578-3957204-image-a-99_1479743387630.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom