Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...

Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!

That is the spirit...one game at a time. Halafu wamnyime Conte kocha bora wa mwezi!

Kama kweli u mtabiri mzuri...tutabirie game ya Jumamosi dhidi ya Everton!

Maana yake ni kuwa January na msimu ukiisha anahitaji usajili mpya maana wengi wa walioko benchi hawawezi sana hii format mpya!

Humbled mkuu..thanks!

Hakuna kitu sitamani kama Ars8nal au Liverfool wachukue kombe...heri alibebe hata Tottenham aisee...duh
kuna tetesi zimezagaa leo kuwa, fab ataondoka january kwa mkopo na Mikel ataenda gatasaray...kama itatokea basi lazima tutafanya usajili january, 2 midfielders watatutosha.
 
Kafanyaje hyu babu??

"I think there are five potential candidates: Manchester City as favourites, Tottenham and Liverpool, but also Man United are still there if we get some consistency soon.

"Even when you are trailing by six, eight points, it’s still possible to catch one or two teams. The rivalry and the experience of Guardiola and Mourinho makes for an exciting competition, and you shouldn’t forget Arsenal.” - Fergusson
 
kuna tetesi zimezagaa leo kuwa, fab ataondoka january kwa mkopo na Mikel ataenda gatasaray...kama itatokea basi lazima tutafanya usajili january, 2 midfielders watatutosha.
yaani conte ni bonge la kiazi" ............tena mbatata"

kwa mambo hayo y conte,fergusson asipuuzwe pia ...........
 
tatizo fab..hafit kwenye system yake, fab ni mzuri kwa formation ya 4 3 3 au 4 2 3 1 ambazo conte siyo muumini! sasa nnavyofikiri ni kuwa anaamn Fab ni world class player...hataweza kumfanya awe na furaha ... Conte used to be a player, anajua feeln za mchezaji kama hapangwi kwenye matches...best sln ni kumuuza ili kumnunua mchezaji atakeyefit kwenye system yake
 
hafit vip wakat hajampa nafasi?? ............ ana chuki tu binafsii.
 
fab ni mzuri offensive... defensive ni poor...ndiyo maana alimwambia aimprove defensive... naona kachemsha
 
Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...

Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!

That is the spirit...one game at a time. Halafu wamnyime Conte kocha bora wa mwezi!

Kama kweli u mtabiri mzuri...tutabirie game ya Jumamosi dhidi ya Everton!

Maana yake ni kuwa January na msimu ukiisha anahitaji usajili mpya maana wengi wa walioko benchi hawawezi sana hii format mpya!

Humbled mkuu..thanks!

Hakuna kitu sitamani kama Ars8nal au Liverfool wachukue kombe...heri alibebe hata Tottenham aisee...duh
yani mie bora timu yeyote ichukue lakini siyo arsen8.
 
1478108455502.jpg
 
Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...

Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!

That is the spirit...one game at a time. Halafu wamnyime Conte kocha bora wa mwezi!

Kama kweli u mtabiri mzuri...tutabirie game ya Jumamosi dhidi ya Everton!

Maana yake ni kuwa January na msimu ukiisha anahitaji usajili mpya maana wengi wa walioko benchi hawawezi sana hii format mpya!

Humbled mkuu..thanks!

Hakuna kitu sitamani kama Ars8nal au Liverfool wachukue kombe...heri alibebe hata Tottenham aisee...duh
Matic wa sasa hivi hana masihara kabisa, Fab hana namba hapo labda kocha akipenda atamchezesha kwa matic kama game rahisi, hata Zouma hapo akipona na beki ikawani ile ile imara atakuwa hana nafasi zaidi ya kupangwa kwa kante hapo.
 
fab ni mzuri offensive... defensive ni poor...ndiyo maana alimwambia aimprove defensive... naona kachemsha
sawa alimwambia hivyo, je ameshampa nafasi akachemka? pedro mbona ukabaji wake ni kama wa fab tu .........
 
Pedro na Fab wanacheza nafasi mbili tofauti, Fab anatakiwa akabe sana na kupeleka mipira mbele. Pedro yeye kwa mfumo huu ni kufunga tu kukaba ni kidogo sana. Sema Conte anamjaribisha mchezaji mara moja tu asipodeliver anaachana nae. Kumuweka Bench Batshuay inanikera sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom