Ni kweli kabisa, game after game. Mdogo mdogoTuko vizuri sana kikubwa nikufocus gemu ya everton
![]()
Hofu yangu ni hii back three akiumia mtu!!!
Kweli hapo kidogo kuna ugumu nauona kutokana na game ya juzi ya West Ham, Terry kama vile bado hajaelewa mfumo vizuri, na Conte amesema hatomuwaisha Zouma kurudi bali ataendelea kujifua na U-23..
Ila naamini Conte na benchi lake wanalifanyia kazi hilo
Ni kweli kabisa,mtizame hata Hazard anavyocheza nowadays ukimlinganisha na last season.![]()
Nemanja Matic...naamini msimu uliopita hawa majamaa walikuwa kwenye mgomo wa aina flani....
Ila badoooo bado wanahitaji mazoezi ya kufunga aisee...unajua nilikuwa nawaza zile nafasi zimkute Messi...unadhani angekuwa na magoli mangapiDIEGO COSTA anatisha ile mbaya,anacheza na nyavu tu...teh!.....teh.....!!
We jamaa ndio shabiki pekee wa Chelsea humu ndani, wengine wote ni glory hunters, wanakuja penye ushindi tuMh! Kila siku afadhali ya jana...hii fixture ya November mbona kali kuliko tulikotoka!???
- Everton
- Middlesbrough
- Tottenham
- Manchester City
-
Ila badoooo bado wanahitaji mazoezi ya kufunga aisee...unajua nilikuwa nawaza zile nafasi zimkute Messi...unadhani angekuwa na magoli mangapi
Kingine, naona kama Pedro anachoka sana...anatafuta balls mwenyewe halafu anawapa pasi ila yeye hapati feeds nyingi...angalia hasa game ya leo....mpaka anayosha mikono!!!
Mh! Kila siku afadhali ya jana...hii fixture ya November mbona kali kuliko tulikotoka!???
- Everton
- Middlesbrough
- Tottenham
- Manchester City
-
We jamaa ndio shabiki pekee wa Chelsea humu ndani, wengine wote ni glory hunters, wanakuja penye ushindi tu
Kweli kabisa, mwaka juzi mnachukua ubingwa mlijaa sana humu ndani, mwaka jana mlipoteana akabaki mentor peke yake, kalou alikua anachungulia tu, enzo alikua anakuja na tusi moja alafu anapotea, mtuzu alikimbia zaidi ya bolt, mwaka huu mambo si mabaya naona mmeanza kurudiDaah!! Wasema kweli???
Kweli kabisa, mwaka juzi mnachukua ubingwa mlijaa sana humu ndani, mwaka jana mlipoteana akabaki mentor peke yake, kalou alikua anachungulia tu, enzo alikua anakuja na tusi moja alafu anapotea, mtuzu alikimbia zaidi ya bolt, mwaka huu mambo si mabaya naona mmeanza kurudi