Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

It really depends ni nani wanacheza...kacheza tena na Matic lakini balance ilikuwepo. He has better passing accuracy. Sometimes tuwaze kushambulia zaidi. Ukiwa na Kante take the risk weka Fab mwache Matic bench wacha timu ishambulie kwanza the more you attak the less of the ball you will have to chase.
 
ndicho nilichokua nahoji" mnasemaje ameshindwa wakat hajapewa nafasi,mi naona ni chuki binafsi tu hamna cha weakness ya kukaba wala nini ............

yaani namuombea conte achemshe ........manina.
Hapa inabidi tujue tu kwamba maneger wetu kimsingi hana interest na fab ndio maana unakuta hata nafas hapewi na katka uhalisia formation yaa 3-4-3 kwa fab kwake ni ngumu kuperfom vizur
 
Najua terry anakukera sana

Who said that!??

Mimi hata Terry akijifunga siwezi kukereka sembuse saivi hata hachezi!??

The fact is amezeeka, nguvu zimepungua ingawa akili ya mpira bado anayo. kwa formation ya 3-4-3 there is no room for error. Speed ni silaha kubwa. Ndiyo maana hatopangwa sana kwa mechi kubwa.

I love Terry lakini simuhesabii kama mabeki tuliobaki nao (same with Ivanovic).
 
True chelse under conte mtafika sehemu flani jamaa yuko makini sana namuelewa mpeni muda
 
It really depends ni nani wanacheza...kacheza tena na Matic lakini balance ilikuwepo. He has better passing accuracy. Sometimes tuwaze kushambulia zaidi. Ukiwa na Kante take the risk weka Fab mwache Matic bench wacha timu ishambulie kwanza the more you attak the less of the ball you will have to chase.
kudos.
 
3A1107C100000578-0-image-a-54_1478277274452.jpg

Chelsea manager Antonio Conte hopes to have Cesc Fabregas and Kurt Zouma available for selection after the international break.

Fabregas, who failed to make Spain's squad for thier game against England, has been suffering with a muscular injury while Zouma (knee) has not featured this season, but both returned to training this week.
 
Chelsea are unbeaten in their last 21 home Premier League games against Everton since a 0-1 loss in November 1994 (W11 D10). Only against Tottenham (24) are they on a longer unbeaten Premier League run at Stamford Bridge.
 
It really depends ni nani wanacheza...kacheza tena na Matic lakini balance ilikuwepo. He has better passing accuracy. Sometimes tuwaze kushambulia zaidi. Ukiwa na Kante take the risk weka Fab mwache Matic bench wacha timu ishambulie kwanza the more you attak the less of the ball you will have to chase.
ni sawa...ila me ningependa baadhi ya matches fab acheze no 10 apewe free role...asiwe na jukum la kukaba...kaz yake iwa ni assisting mwanzo mwisho...
 
39E207C900000578-3904960-image-a-53_1478258793443.jpg

Diego Costa and Eden Hazard are both in the running for October's Player of the Month award

02B257BA000007D0-3904960-image-a-61_1478259172866.jpg

N'Golo Kante has also been put forward after playing an essential part in Chelsea's great form

39E736C500000578-3904960-image-a-64_1478259599591.jpg

Chelsea's Antonio Conte is up for the Manager of the Month award, alongside fellow Premier League bosses Arsene Wenger, Mark Hughes and Jurgen Klopp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom