Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pia pongezi kwa hawa watu alonso matic ngolo na moses kwa kuwalinda vizuri hawa mabeki watatu huku nyuma si kazi ndogo hata kidogo huu mfumo inabidi kila mmoja ajitume kwa dk zote 90 yaani kiufupi ni lazima ulimi ukutoke
 
Match nne courtois hajaruhusu nyavu zake kuguswa hii inaonyesha anarudi katikakiwango chake
Eden hazard
Matic na ngolo
Alonso na moses
Petro anakuja vizuri
Kiukweli viwango vimepanda sanaa
 
Mh! Kila siku afadhali ya jana...hii fixture ya November mbona kali kuliko tulikotoka!???

- Everton
- Middlesbrough
- Tottenham
- Manchester City
-
hao boro wanakaa golini timu nzima
 
Hahaha hii league ni presha tupu
Man city point 23
Arsenal point 23
Liverpool point 23
Chelsea point. 22
Totenham 20
Everton 18

Ukipigwa tu unashuka sana
 
Timu imekolea ila tuombe Mungu tusipate majeruhi kwa beki yeyote yule maana hatuna wa akiba,yaani hatuna mbadala wa beki yeyote yule atakayefit kwenye mfumo wa Conte
 
Timu imekolea ila tuombe Mungu tusipate majeruhi kwa beki yeyote yule maana hatuna wa akiba,yaani hatuna mbadala wa beki yeyote yule atakayefit kwenye mfumo wa Conte
Wapo walio nnje anachotakiwa conte ni kuwaingiza katika huu mfumo wake wa 3-4-3 kama willian kiungo huyu mshambuliaji
Mabeki tery ivanovich zouma aina na chaloba kama kiungo
 
Unajua Pedro amezoia sana zile za Barca 'nipe nikupenyezee' na kama utakumbuka mwaka jana aliekuwa anaweza kucheza nae hivyo ni Fabregas.....sasa inakuwa ngumu sana pale anapotegemea apenyezewe pasi halafu hapati.

Ila kidogo, kidogo Hazard anajaribu kupenyeza ingawa accuracy yake bado.

Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...

Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!

October results
Hully city 0 - 2 Chelsea
Chelsea 3 - 0 Leicester city
Chelsea 4 - 0 Manchester utd
West Ham 2 - 1 Chelsea
Southampton 0 - 2 Chelsea

Mi nnachotaka kukuambia tu usijali mkuu Mentor taratibu tu game baada ya game tutafika

That is the spirit...one game at a time. Halafu wamnyime Conte kocha bora wa mwezi!


Nachofurahi jana nilitoa prediction yangu na ikazaa matunda
Southampton 0
Chelsea 2

Kama kweli u mtabiri mzuri...tutabirie game ya Jumamosi dhidi ya Everton!

Napenda pia kumpongeza conte kwa kubadili mfumo hii imetusaidia mno
Ila naona wachezaji kama willian tery na ivanovich inabidi wajifunze sana kuingia katika huu mfumo

Maana yake ni kuwa January na msimu ukiisha anahitaji usajili mpya maana wengi wa walioko benchi hawawezi sana hii format mpya!

Nimeangalia mechi yenu vs Southampton, honestly ilikuwa perfomance ya uhakika. Timu yeni ikicheza vile ubingwa unapatikana.

Humbled mkuu..thanks!


Hakuna kitu sitamani kama Ars8nal au Liverfool wachukue kombe...heri alibebe hata Tottenham aisee...duh
 
mkuu fagason kafanyaje eb nijuze

"I think there are five potential candidates: Manchester City as favourites, Tottenham and Liverpool, but also Man United are still there if we get some consistency soon.

"Even when you are trailing by six, eight points, it’s still possible to catch one or two teams. The rivalry and the experience of Guardiola and Mourinho makes for an exciting competition, and you shouldn’t forget Arsenal.” - Fergusson
 
Hapana bado kuna haja ya wao kucheza kama timu. Nimeangalia hata mechi na Man utd...bado pedro hapewi pasi za kutosha sana sana from beki ila hiyo mid na forward wenzake wanampunja sana pasi...

Umetaja Fab ukanitonesha kidonda...sijui hata akija anacheza wapi...kwa Matic labda???!

Kweli kucheza kama timu kunahitajika sana.....na Fab sijui ila simuoni kurudi kucheza kwenye kikosi hiki labda mtu aumie. Conte anapenda watu wenye mpira wa nguvu (mpira wa ki-italiano), sasa watu kama Fab na Oscar watapata wakati mgumu sana kiasi fulani wapo slow....japo nazimiss sana pass za Fab
 
VICTOR MOSES...

3977342.jpg


But it’s Moses’s work in his own half that has impressed so much. No player on the pitch regained possession more times than the Nigerian (9), and he continually tucked in to support Cesar Azpilicueta on the right side of Conte’s back three.

MORE FROM GOAL.COM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom