Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hongera chelsea kwa ushindi wa leo toka mwanzo wa ligi wangekuwa wanacheza hivi saizi tungekuwa tunaoongoza ligi
 
Ivanovic atafute timu January,nimeipenda commitment ya Cahil ma Luiz leo
 
Ndio mkuu wangu nimerudi

Leo baba Mou kimya ...

Anasema makosa binafsi ya mabeki ndo yameleta shida....
hongera mkuu [emoji4] [emoji4] jitahidini mshiriki nafasi ya UEFA
 
maweeee...Blind huyu mmoja????? huyu???? lol...wacha nisiseme sana

Zlatan keshajifia zake anakula pensheni anawashangaa bado mnampanga...halafu siku hiyo ndo mtashangaa Cahill atakavyokuwa mcharo.

Kwanzaaaaaaaaa huko kwa kina Cahill mtafika kweli...kule V. Moses...huku Alonso...mkiingia kati kuna mamiguu Matic na dogo Kante (the Parisian)...sijuiiiii

labda kama watakakujipa moyo tu..ila sijuiii...kweli kabisa Shaw na blind wamzuie Hazard? Blind?????

Haya basi...Valencia amzuie Willian? are you serious au Mou keshawaambukiza?
Jamaa wewe ni shehe Yahya leo nalala usingizi mzito mno
 
3-4-3 Unatufaa sana, yaani leo ndio mara ya kwanza kumuona Kante anacheka, hii baada ya kufunga goli la kiufundi sana na ni goli lililoshangiliwa kuliko magoli yote, V. Moses, hazard, Matic, Kante, weka mbali na watoto,hongera boss Conte lkn Mou the blues bado tunampenda,kwenye kazi mahaba pembeni.
 
Hongereni kwa Ushindi mnono[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]


14657473_727947557356205_3071131686573175930_n.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom