Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

39686CE200000578-3839560-image-a-28_1476539539361.jpg

Akili uliyotumia ya kumfanya Victor kama Wing back...nakupa sifa. maana ana speed na ana akili ya kushambulia...namfananisha na Danny Rose ama Nathaniel Clyne!!
Duh mechi tatu zijazo si mchezo...maana zinapishana siku mbilimbili tu...

Jumapili - Man UTD

Jumatano - Westahm (EFL Cup)

Jumapili - Southampton

Hapo ndo October iishe...si mchezo walai!!!
Habari za mripuko(breaking news) za muda hii zinasema Conte amenunua mechi kutoka kwa Ranieri.
Ranieri alikubali kuuza mechi ya leo ili kunusuru kibarua cha ndugu yake. Ranieri amefanya hivyo akijua ana kinga ya kutopoteza kibarua chake kwa sababu ya miujiza ya Leicester iliyofanya msimu uliopita.

Pia , habari zingine zinadokeza Domokaya bin Mpayukaji amedhamiria kuchanganya lugha ya kiitaliano na kirusi kwa pamoja atakapokutana na Chelsea.
 
sisi kama mashabiki tunafarijika kuona klabu yetu ina fedha za kuweza kununua mechi. Maana ni wengi wanaotamani fursa hiyo ila uwezo hawana.
Refer timu zako: Stoke, Swansea na Sunderland.

Baada ya kusema hayo kuelekea mechi ijayo ni matumaini yetu Mou atajifunza lugha mpya ya Kiswahili! Huenda siku moja tutakuja kumuajiri afundishe TFF.
 
Timu zangu ni kawaida mwanzo wa msimu kuziachia timu zile zijipe matumaini lakini baada ya Krismasi ndio zinaanza kutoa dozi na kusababisha maumivu kwa mashabiki wa timu zinazopenda kununua mafanikio na ubingwa.

Msimu uliopita mlikuwa mnasema "msimu bado haujaisha" au mmepata msemo wa mwendoka kasi na mbele kwa mbele kwa sababu ya hii mechi mliyonunua leo?

Wiki 3 ni nyingi sana, umeshayasahau yote mliyokuwa mnayasema kuhusu Conte na mbinu zake wiki 3 zilizopita?
 
Kwamba huoni amebadilika? au kwa kuwa uko bize kuangalia mechi za Stoke basi unasahau kuangalia za waume zako!??
 
Kwanza kabisa hebu nikaribisheni manake ndo kwanza nabisha hodi humu , mimi mnazi wa chelsea hatari!
ILA KITENDO CHA DIEGO COSTA KUONESHA ISHARA APEWE PUMZIKO NA CONTE BADO SIJALIELEWA MANAKE HAPO MMOJAWAPO AKIJAA SUMU HUENDA TIMU IKASAMBARATIKA KIUSHIRIKIANO.
 
kafanya vile kutokana na hamu yake ya kucheza. Tayari tulikuwa tumeshashinda na alitaka kutoka ili asipate kadi ya njano (ambayo ingekuwa ya tano) ashindwe kucheza mechi jumapili ijayo dhidi ya Man UTD. Hakufanya kwa ubaya ila nimempenda kocha kwa kumpuuza maana ukianza kumsikiliza kila mchezaji uwanjani utashindwa kuongoza timu!

Hakufanya out of dharau but out of passion!!!! Pundits wameikuza negatively tu...kina Nonda na nduuze.
 
Man u wajiandae tu kisaikolojia aisee! Watakula nyingi mpaka watapoteana uwanjani.

Can you imagine pale mbele kuwe na Willian-Costa-Hazard!???

Kwanza yale machungu ya kufiwa...

Halafu naamini na Fab atakuwa amepona...hata asipocheza...pale mbele aingie Willian atoke Pedro...daadek!!!! Spirit aliyoonesha Luiz leo aioneshe Jpili. Cahill akae macho...au aingie mtu mzima Terry...

Kante man of the mathch...sijui kama Pogba atagusa mpira kwa kweli!

nawatangulizia RIP
 
Ameeeeeiiiiiiiijiiìingiiiiii
 
Lazima wakae aisee.
 
Man u sina wasiwasi wala hasira nao ,
Ninachokitaka ni wale washika mitutu wapite Darajani waone kitakachowakuta naamini watakula hata 7 kwa kosa la kutufunga 3 bila.
 
My brother herrera, tangu lini man utd akaifunga Chelsea hii! Nakuhakikishia siku hiyo hadi Nonda atakuwa upande wetu!!!
HAHAAA kaka chelsea ya mou ndio huwa inatusumbua sana lakini hii ya conte sina papara nayo kabisa shaw, blind, bailly na valencia wanatosha kabisaa kuwaficha hao akina coshta, hazard na willian,

kuna kale katoto kashule rashford kakiongozwa na babu yake zlatan wakisaidiana na kaka yake wakufikia tony martial sioni kabisa beki wakuwazuia labda angekuwepo zouma.
mkuu Nonda hawezi akawa upande wa special one HAHAHAAA jamaa anamchukia mourinho huyu dah
 
maweeee...Blind huyu mmoja????? huyu???? lol...wacha nisiseme sana

Zlatan keshajifia zake anakula pensheni anawashangaa bado mnampanga...halafu siku hiyo ndo mtashangaa Cahill atakavyokuwa mcharo.

Kwanzaaaaaaaaa huko kwa kina Cahill mtafika kweli...kule V. Moses...huku Alonso...mkiingia kati kuna mamiguu Matic na dogo Kante (the Parisian)...sijuiiiii

labda kama watakakujipa moyo tu..ila sijuiii...kweli kabisa Shaw na blind wamzuie Hazard? Blind?????

Haya basi...Valencia amzuie Willian? are you serious au Mou keshawaambukiza?
 
kafanya vile kutokana na hamu yake ya kucheza. Tayari tulikuwa tumeshashinda na alitaka kutoka ili asipate kadi ya njano (ambayo ingekuwa ya tano) ashindwe kucheza mechi jumapili ijayo dhidi ya Man UTD. Hakufanya kwa ubaya ila nimempenda kocha kwa kumpuuza maana ukianza kumsikiliza kila mchezaji uwanjani utashindwa kuongoza timu!

Hakufanya out of dharau but out of passion!!!! Pundits wameikuza negatively tu...kina Nonda na nduuze.
Hapo nimekueldwa mkuu ahsante kwa ufafanuzi.
 
maweeee...Blind huyu mmoja????? huyu???? lol...wacha nisiseme sana

Zlatan keshajifia zake anakula pensheni anawashangaa bado mnampanga...halafu siku hiyo ndo mtashangaa Cahill atakavyokuwa mcharo.

Kwanzaaaaaaaaa huko kwa kina Cahill mtafika kweli...kule V. Moses...huku Alonso...mkiingia kati kuna mamiguu Matic na dogo Kante (the Parisian)...sijuiiiii

labda kama watakakujipa moyo tu..ila sijuiii...kweli kabisa Shaw na blind wamzuie Hazard? Blind?????

Haya basi...Valencia amzuie Willian? are you serious au Mou keshawaambukiza?
On paper you are good but on reality you are nothing special, hazard peke yake ndio nam admire the rest wanazuilika 100%
Naziona goli za pogbackk, school boy, and the old man kadabra.

And who is alonso by the way??? (Serious Qn) what is special about him???

All of your backline are headless chicken (apart from azipilicueta).
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom