Mou amefanyaje? Mdomo wa Mou umesilimu?Ndio mkuu wangu nimerudi
Leo baba Mou kimya ...
Anasema makosa binafsi ya mabeki ndo yameleta shida....
Mou amefanyaje? Mdomo wa Mou umesilimu?
Mou alizungumza kwa usiri mkubwa na Mafiaso mbili,wa kirusi na mafiaso wa kiitaliano siku tatu nyuma. Je walipanga kuuza na kununua matokeo. Conte ana historia hiyo. New Chelsea boss Conte 'will always be scarred' by match-fixing allegations
Heheeeee,Asante sana na wewe pole sana,nije nikufute machozi?😀😀Hongereni kwa Ushindi mnono[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
mbona ni mchezaj mzur tuIvanovic atafute timu January,nimeipenda commitment ya Cahil ma Luiz leo
ameisaidia chelsea sna, kacheza misimu mitatu km siyo minne tena mfululizo.3-4-3 bila ivanovic ni baabu kubwa, come on the blue [emoji16][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112]
Huo mfumo ni mzuri sn lkn unahitaji uwezo binafsi Wa wachezaji kwa mfano kwa sasa Ivanovic huo mfumo haumfai kabisa kwasababu unahitaji MTU Mwenye uwezo Wa kukimbia muda wote km Azpiricueter au Alonso. Na pia uimara Wa huo mfumo unategemea sn na viungo Wa kati pamoja na wale wanaoshambulia kuweza kukaa na mipira sn. Km uliangalia Jana ule upande Wa Moses na Pedro Man U walishindwa kabisa kuzuia huo upande kwasababu hawa wote wanakaa na mipira na wanadrive sn na kadri Moses alivyokua akipanda mbele basi Pedro ndio anazidi kuingia kati na kutengeneza watu watatu pale kati yani Costa Hazard na Pedro unakuta beki zinashindwa zimkabe nani zimuache nani na wote hawa wanasifa ya kukaa na mpira sn na kukimbia kwa kazi sn.Huu mfumo wa conte unatufaa sana, tukiendelea kucheza hivi tutaendelea kuwaua hawajamaa, timu imecheza kwa morali kama fainali aisee, nimependa sana.
Asicheze kabisa huyo3-4-3 bila ivanovic ni baabu kubwa, come on the blue [emoji16][emoji23][emoji112][emoji112][emoji112]