Mentor
JF-Expert Member
- Oct 14, 2008
- 20,334
- 23,943
hahahaaaa mkuu Ntuzu leo umeonekana? welcome back ila nasikitika kwamba unarudi na mkosi,spesheli wani hatawaacha leo kwa mlichokua mmefanyiaherrera Leo kwa nguvu kabisa nitakua online kuwakilisha hapa. Nataka ni chaji simu vzr na niweke power bank full.
Leo hatumwi mtu sokoni..
Karibu sn Mou darajani
Rooney ni majeruhi.. kashikwa msuli nusu saa ilopita[emoji12]Tutajie vikosi vitakavyoanza leo jaman...naombea rooney aanze leo upande wa man utd [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaelewa hawa unafikiri hawajui? Ukikutana na mtu wako wa zamani hufanyii makosa....... lazima ajute kwamba kwanini alikumwaga...... twende kazi Mou[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ....hahahaaaa mkuu Ntuzu leo umeonekana? welcome back ila nasikitika kwamba unarudi na mkosi,spesheli wani hatawaacha leo kwa mlichokua mmefanyia
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Tupungiane hewani wapendwa wangu wote humu, nawasalimu woteee kwa busu takatifu[emoji8] [emoji8] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]. ....
Mkuu game sa ngap kwa saa za kibongoDiego Costa Vs Bailly
06:00pmMkuu game sa ngap kwa saa za kibongo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ni sawa na mashabiki wa celtic kuwa upande wa rangersCHELSEA TUKO PAMOJA
NAOMBA MTUPIGIE HII MA RED DEVILS
kelele zipungue !!!
Wakati wamekuja Emirates nyote ukiwemo we na RRONDO mliwapa support thou Iliback fire vya Hatari[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii ni sawa na mashabiki wa celtic kuwa upande wa rangers
Mkuu mi nipo sn tu ila mambo kibao tu.......hahahaaaa mkuu Ntuzu leo umeonekana? welcome back ila nasikitika kwamba unarudi na mkosi,spesheli wani hatawaacha leo kwa mlichokua mmefanyia
Acha hizo weye yani Leo mahaba na Mou na wewe nayaweka pembeni lazima nikugegede ooooops sorry kwa hiyo lugha [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wanaelewa hawa unafikiri hawajui? Ukikutana na mtu wako wa zamani hufanyii makosa....... lazima ajute kwamba kwanini alikumwaga...... twende kazi Mou[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133] ....
Nimeshapinga na wewe siku mingi sn.....Tupungiane hewani wapendwa wangu wote humu, nawasalimu woteee kwa busu takatifu[emoji8] [emoji8] [emoji113] [emoji113] [emoji113] [emoji113]. ....
hahhaaaa kwa hyo upo tayari kuona parade bus hapo hapo london? kuliko kwenda manchester?Wakati wamekuja Emirates nyote ukiwemo we na RRONDO mliwapa support thou Iliback fire vya Hatari
Leo niko nao!!!
maana mlishangilia Sare ya Jana kama Tumefungwa!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]